@ukhtydidas27: Kama mnataka vita tuko tayar #fypシ #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniatiktok #rwandatiktok🇷🇼 #burunditiktok🇧🇮

Ukhtydidas
Ukhtydidas
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 18 July 2026 09:04:24 GMT
121596
7284
1085
461

Music

Download

Comments

asha.juma495
binti juma💞💞 :
dad angu umeongea kit kilch sahii🥰
2026-07-19 06:01:16
1
user4782042327262
IDDI SAID :
Kwa kuongezea SHEIKH WALID alikaa kijiweni Kwa miaka saba alipoondoka pale Kila mmoja anaswali swala Tano yote hiyo ni SUBRA MUNGU ATAMLINDA KWA HILI NA LINGINE LILILOJIFICHA InshaAllah
2026-07-18 13:26:36
269
mariammpunga
mariammpunga :
Nimeingia Uislam na alienisababisha nisimame imara ktk Uislamu wangu ni huyu Shekh na mafundisho yake, nilikuwa nafatilia mafundisho yake na mawaidha yake, nikayaahika kwa imani yangu ya Uislam, huyu Shekh sijawahi kutana nae ana kwa ana ila ninaushaidi wa mawaidha yake yaliyo niimarisha ktk dini yangu. Sitamani nirudi kule nikotoka nitabaki hapa kule kwa wazazi nitaenda na siwatengi isipokuwa kila mtu ana imani yake. M'Mungu aendelee kumtunza InshaAllah Shekh wetu
2026-07-18 13:05:24
181
leilachichi837
fantana❤️ :
shehk walidi handsome boy 🥰
2026-07-18 15:25:52
65
user4097248190718
cirmic :
I wish I can give you 100like
2026-07-19 10:19:26
5
tima6153
TIMA🥰 :
Shida wanaumia sanaaa kuona kuwa sheikh waliid hazungumzi ila wananchi ndo wanazungumza kwa niaba yake. hii inaonesha dhaahir kuwa sheikh waliid ni mtu wa watu💯
2026-07-18 14:52:26
91
hadija.mbikitu
Hadija Mbikitu :
uko sahihi Sana dada yangu 👌👌👌
2026-07-18 12:06:17
111
mjrboy5
mjrboy :
kwel kabisa hiyo bakwata ni matatizo matupu
2026-07-18 09:14:35
84
mohamedbakshi4
MOHAMED BAKSHI :
Swalla alla nabii
2026-07-18 12:43:36
71
user3011315983491
user3011315983491 :
from kenya I love sheikh Walid 🥰
2026-07-19 11:03:32
3
ayoub__jingu1
Ayoub J :
Congratulations sister 💯
2026-07-18 09:19:22
7
bhyhhy.04
Hhy.04 :
Umeongea kweli San mungu akulipe heri🤲🤲. na sheeikh ampesubra 🤲🤲🤲🥺🥺 Nakupend kwajili ya Allah 🥺🥺
2026-07-19 14:40:17
14
missoboy82
Mwalimu khamisi :
Mama maneno yako yamenitoa machozi, Allah aingilie Kati jambo hili
2026-07-18 11:05:25
74
last.born.001145
Last Born 001 :
Nothing to say SALUTE
2026-07-18 15:33:11
6
usermaryam29
usmaryam gadaaf :
Asante 🤝
2026-07-18 20:02:22
1
marathonboy11
goodboy :
sister usijipige kifua sheikh walid ameteleza ni mwanadamu Allah amsamehe mapungufu yake na sisi pia Allah atusamehe maanake hakuna aliekamilika
2026-07-18 13:31:43
15
maryamsalim79sali
white mummy🦋 :
Allah akutangulie ukty didah,una hekmah sana
2026-07-18 09:46:30
27
milwaukee081
Buraq :
Ndio maana nikasema kuna baadh ya mashekh ni wanafik na wa ovyo
2026-07-18 09:40:08
61
habibajumamura
mwaah💋💋 :
dada una tumia soda gani plz
2026-07-19 08:56:06
14
goldfree.abdulkad
Goldfree Abdulkadil mohamed :
Mimi ndiye Godwin amenitolea mfano hadi nimekuwa Muislam .Leo BAKWATA sielewi kabisa .nilikuwa mkristo Mimi Sheikh Kanivuta kwenye Uislam🥺🥺🥺🥺
2026-07-18 22:14:28
17
naima.jumaboy5
Naima Jumaboy :
Yaani I salute you sister 💯 well said Mashallah ushamaliza
2026-07-18 16:02:47
25
user713306953
user7265009389357 :
kweli maneno yko dada @
2026-07-18 15:47:18
15
nusraathuman709
Amelia96 :
tumpendao sheikh Walid tuamke usiku kuswali salatul hajja kumuombea kwa Allah amfanyie wepesi na kumpa cheo zaidi Yao...
2026-07-18 17:57:45
42
julaybibi.babah8
Chi Babah :
Sheikhe WALID Anahekma San kuliko Viongozi Wote wa Bakwata Ndio WALID Moja Tena Hapo Nimwanafunzi wa WALID
2026-07-18 12:51:57
23
user27502835815210
betterhelthvibe :
WAPO KIMASLAHI NA KISIASA SANA PALE NASIO KIMAADILI YA UONGOZ MUNGU AWANUSURU WALO HUSIKA
2026-07-18 13:58:27
13
To see more videos from user @ukhtydidas27, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About