wakibosho sio hata wachoyo mbona sisi ukoo mzima tuko na umoja sana
2026-07-20 04:47:14
32
💕kidoti💕 :
hapo kwa marangu hujakosea jamani hapo ni 100 kwa 100
2026-07-19 19:05:03
24
becky__divah❤️ :
Wamachamee mje ap😂
2026-07-20 12:58:47
14
love❤️ wizo :
machame oyeeee🥰🥰
2026-07-19 17:43:31
21
linessurasaa :
Ivi mnavyosemaga wamachame ni wauaji mnatakwimu? inawezekanaje kabla moja wote wawe wauaji? hamna watu wenye HOFU ya Mungu huko kweli? inamaana tumeumbwa na udongo wa tofauti au? au sisi hatujatoka kwenye kizazi Cha Bibi Hawa🤣, Sasa gerezani pale Karanga Moshi si pangejaa, bibi zetu na Shangazi zetu wakiwa wamehukumiwa kwa uuaji? au ndio kbla Zima sisi wachawi? Sasa si tungekuwa ajabu la 8 Kama sio la9 la Dunia?😳 Mimi huwa inanifikirisha sielewi eti mtoa post hebu tuelezee na tusiojua tujifunze tunauaga vipi?🤣🤣