@miladu_tv: BAKWATA MKOA: Aliekua Sheikh wa Mkoa wa Dar Es salaam Sheikh Walid Alhad amekabidhi ofisi rasmi kwa Kaimu Sheikh Abbas Ramadhani. Makabidhiano hayo yamefanyika leo 18/07/2026 Jumamosi katika ofisi za Bakwata Mkoa Dar Es salaam. #MiladuUpdates #miladutv #babdeoMiladu
huyu sheikh aliyekabidhiwa ofisi mbona anafuraha sana aisee
2026-07-18 11:27:22
122
V12 :
Its very painful for real
2026-07-18 17:48:23
0
yuleboy_tall_thenblack :
team shekh walidi like hapa ... comment hapa ...tuondokee pmja mpaka kichanganii magomeni
2026-07-18 10:07:55
552
4kt🍁 :
real pain😭
2026-07-18 19:11:07
0
Ummuking collection :
This is the real defination ya kiongozi… nilikuwa simfuatilii sana huyu sheikh bt since apate huu mtihani nimfatilia sana na nimempenda for real. Mimi sikupi pole bt nakupa hongera kwa the way umelihandle hili yaani umeamua kukaa kimya hii inaonyesha ni jinsi gani ulivyo na hekma kwan kuungwana akivuliwa nguo hasimami huchutama … Allah atakupa zaidi ya ulipokuwa kwan dhahabu kila inapochoomwa moto ndipo inapozidi kung’aaa… the future is bright for you ou Sheikh Walid❤️❤️🤲🏻🤲🏻🙏🏻🙏🏻
2026-07-18 13:51:35
94
WADUBAI :
walid is best
2026-07-18 15:08:27
0
user249939453333 :
sheikh walid very strong man,hekma ndokwao
2026-07-18 14:04:17
57
Sulesh Junior :
Huyu shekh waliid yauman Atakua mufty mkuu wa Tanzania
2026-07-18 11:19:49
82
aminarajabu32 :
dah shekh kafany hekima kubwa sana mungu azid kumpa nguvu tuko pamoja shekh wetu
2026-07-18 11:12:44
83
STINGY :
TUMSWALIE MTUME
2026-07-18 14:05:34
33
Bin Faraji :
nimeiona picha ya mufti imebandikwa ukutani hii imekaaje?
Dini inasemaje kuhusu kuweka picha
2026-07-18 11:18:50
33
Hussein H Love :
so pain
2026-07-18 11:08:53
1
Leem :
Jamaa kinachonishangaza huyu anaechkua ofisi anaoneakana ana furaha sana yani. Haoneshi remose kwa yaliyomkuta mwenzake yani ni kama kakabidhiwa office kwa utaratibu wa kawaida
2026-07-18 10:07:57
48
Uchebe Electrical - Dodoma🇹🇿 :
Wallah shekh WALID una HEKMA sanaa Allah atakulipa kheri.
2026-07-18 14:25:42
13
Akshary :
dah mpaka nimelia😭😭😭
2026-07-18 11:57:22
14
Medd-ick :
Zingatia hizi sehemu "ujacheka"
"Aina za watu" wacha mazoea"
2026-07-18 15:23:49
17
hidaya abdul :
inauma sana kwanza hapo moyo wake mungu anajua ingawa anachek
2026-07-18 17:15:16
11
Halal Kuku :
hii ndio subra sasa
2026-07-18 10:39:09
6
vega boy 🫴💔 :
sheikh waled tabasamu mdomoni ila machgu moyoni Allah atakufanyia wepesi😳
2026-07-18 13:15:57
16
young titch🇹🇿 :
sheikh wng bd yey ni Bora anastahiki kubak ila kutokn na maamuzi ya balaz wanamtoa kumbuken anaend kubwa Bora Zaid ya hapo Kam unaamin gonga like ap comment zijaze Walid alhad
2026-07-18 15:37:42
8
waseem salaami :
HAYA TUNAOTAKA UFAFANUZI
kundi no 1) Wale wanao Sema wasiyo yatenda
kundi no 2) wale wanaofanya kwa ajili ya mungu
kundi no 3) wanopendwa kusifiwa juu ya mambo ambayo hawakuyafanya
2026-07-18 16:56:00
5
Sapna :
Subhanna Ullah 🥹 kila mwenye kusubiri yupo pamoja na Munquu
2026-07-18 11:09:07
6
my name :
zingatiya mambo 4 alio yataja
2026-07-18 14:02:19
5
user21511513268845 :
shehe walid usivunjike moyo mitihani wameumbiwa binaadamu nalinalokuepuka ujuŵe lina kheri na wwe shku
2026-07-18 14:19:46
5
Mlungwana :
Pole sana Shekh
Na hongera kwa kuonesha ukomavu
2026-07-18 10:47:48
7
To see more videos from user @miladu_tv, please go to the Tikwm
homepage.