@kijananamziki: @Jonathan Kartagata @Rehema Simfukwe @Nickson kanyelele Mimi ni BWANA, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa. Usiwe na miungu mingine ila MIMI. Usifanye wala usitaje kabisa majina ya miungu mingine pamoja nami, wala yasisikizwe kutoka kinywani mwako, miungu ya fedha wala miungu ya dhahabu usijifanyie. Wa Kusifiwa ni *MUNGU PEKEE* https://youtu.be/FuZQngdhvDs?si=Rl_LCbZpGyjYniHy