@globaltvonline_: Mtuhumiwa wa tukio la mauaji ya Baba yake mzazi pamoja na Baba yake mdogo, Osam Hamza akiwa chini ya ulinzi baada ya kukamatwa na Jeshi la Polisi kwa tukio hilo lililoamsha taharuki kubwa, Mwananyamala Kisiwani jijini Dar es Salaam. Story: @gabbymtanzania80 @zachariajuma0701 @rbukos_ 🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika. #Globaltv #globaltvupdates #globaltvonline #255globalradio #globalpublishers

Global tv Online
Global tv Online
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 18 July 2026 12:17:13 GMT
4379
45
9
4

Music

Download

Comments

nailafengu
Mama Nu²🫂👣 :
ALLAH ATUJALIE HOFU SISI N FAMILIA ZETU
2026-07-18 13:23:32
2
claud.undersk00
Claud undersk00 :
nikiwa kama wakili mbobevu hii issue siiwezi
2026-07-19 03:14:43
0
bbyrevona
Baby revona :
Bado mdg maskini
2026-07-18 20:42:03
0
kimmymdoe
Untouchable❤️💍🔐 :
Wangemvua kofia tukamuona jmn 🥺
2026-07-18 21:41:02
0
nyegere04
nyegere04 :
@osamhamza huyu hapa
2026-07-18 14:51:04
0
jescamosha0
JescaMosha :
Duh
2026-07-18 13:25:11
0
user8017613574948
Eneles❤️ :
huyo kijana tumemrea wenyewe leo kaw muuaji
2026-07-18 17:53:34
0
mamyhawa5
mamyhawa :
kama bibi harusi vile.
2026-07-18 18:20:43
0
nanah.wedding
Nanah wedding :
Kime kuponza nini mwya
2026-07-18 19:46:26
0
To see more videos from user @globaltvonline_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About