@msimbuvt:

Msimbutv
Msimbutv
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 18 July 2026 12:37:55 GMT
38579
2256
222
90

Music

Download

Comments

mrsally2726
Mrs ally❤️💞🦋 :
we love shekhe walid
2026-07-19 19:07:23
1
haarun8_1
user3164192972722 :
Walid anapendwa kuliko Mufti na Samia Suluhu.
2026-07-19 10:01:37
20
sekibiki.deliciou
sekibiki delicious ❤️ :
Tutazidi kupenda mpaka milele cc na wald wald na cc mpaka kiama.
2026-07-19 04:41:31
36
akim112001
Akim112001 :
Kuna tafauti ya mapenzi na haki ndugu,mapenzi bila kutendeana haki sio dini.
2026-07-19 07:41:30
12
khamis.ali7225
KHAMIS ALI :
Na huyo Shekhe anamchukia SH. WALIDI ,Kwa ajili ya nani?
2026-07-19 04:56:45
9
nellly_255
ruby :
tunampenda kwa ajili ya Allah
2026-07-18 19:33:10
15
lunaglow9
Manha_Collection_Zanzibar :
Sheikh Walid kuna darsa yake moja alisema zitafika zama uongo utapewa kipaombele na ukweli utawekwa nyuma ....maneno kama hayo kama siko sahihi mtaniweka sawa .....ndo hawa baadhi ya masheikh yaani kumpenda mtu kwa ajili ya Allah na dini hawataki, kwa kweli mtihani mkubwa saaaaana! mahasid wakubwa
2026-07-18 19:52:45
14
moodyssalim
moodys :
TUNAMPENDA SANA. AWACHE HUSDA. WALIDI TUNAE NA TUNATAMBA NAE
2026-07-20 21:06:27
2
swaifsouq_worldwide
SWAIF SOUQ [ 0776564156 ] :
nashkuru kuna chekhe nimefurahi
2026-07-18 20:04:53
7
seif.abdallah61
SEif ABdallah :
lkn tusípendane kwa maovu musipotoshe maneno ya mtume kwa ajili ya kulinda maovu.kama shehe amekosea anatakiwa atubie
2026-07-18 18:37:29
3
maryamjoharamani
Maryam Johar Amani :
Tushachoka na haya maneno tuangalie mengine sio yy wakwanza
2026-07-18 18:14:45
2
user1425346110423
Hasan hasan,🇹🇿🌱 :
sahihi shekh wangu💛
2026-07-19 13:21:06
6
khamed957
khamed :
Ana hasadi na chuki binafsi huyo na dini haijui. Allah akulipe kheri sheikh kwa kumuelimisha.
2026-07-19 17:41:13
3
user7476527101662
minamina :
Hajieliwi Wana muonea wivu
2026-07-18 19:35:20
4
abdallah.kilindo
Abdallah Kilindo :
kabisa mpe darasa
2026-07-19 06:30:44
5
fatuma99458
Fatuma :
twampenda sana shekhe wetu
2026-07-19 07:03:14
6
user79033959608617
[email protected] :
watu Wana husda sheikh wangu sheikh walidi kipenzi cha Allah na kipenzi chetu
2026-07-19 09:55:31
5
ghostwizard3
Ghost{ff}max :
bwana sisi wasipompenda walidi sisi tunampenda mkono kwa mkono mpaka pepon
2026-07-18 19:23:39
8
annaslayhair5
ANNA SLAY HAIR :
Sisi kama wa CHRISTO tunampenda sanaa ❤️❤️
2026-07-19 13:12:00
6
latifah4.salim
Latifah4 salim :
maashaallah ❤️
2026-07-19 04:02:19
1
fatuma5467
Fatma Fund🖤💚💛 :
Taqbiriiiiiiiiiiiiiiiiii🤲🤲🤲
2026-07-19 06:43:43
3
elkindy20227
elkindy2022 :
yaani watasema sana lakini tunakupenda sana sheikh walid mungu akulipe kwa hujuma hii waliyo kuhujumu
2026-07-19 09:37:40
3
otto.mnyitu
Otto mnyitu :
sheh ww bhn unaelewa
2026-07-19 15:42:42
4
user1168817223750
user1168817223750 :
Maasha Allah
2026-07-18 19:34:27
1
khalfan2060
Khalfanmohamed :
mwambieni shekh
2026-07-19 04:55:45
1
To see more videos from user @msimbuvt, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About