@dickymshana: Wengi husafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar kwa meli za Azam Marine, lakini si wengi wanaojua kuwa safari hiyo huanzia Bandari ya Dar es Salaam. Bandari si sehemu ya kupakia na kushusha mizigo pekee, bali ni lango muhimu la usafiri wa baharini na biashara, linalounganisha Tanzania Bara na Zanzibar kila siku. Kabla hujapanda meli, safari yako inaanzia bandarini. Bandari ni zaidi ya unavyoiona — ni moyo wa uchumi na maendeleo ya taifa. #MwanaBandari #BandariYaDarEsSalaam #AzamMarine #UsafiriWaBaharini #Zanzibar