mimi mhehe wa bomalang,ombe nilisusa hadi hela walinisimanga nikasusa hela sio chakula tu hadi pesa 😆😆😆
2026-07-19 08:57:26
13
Magee_store :
mimi apa muhehe shombeshombe😅😅
2026-07-19 07:21:45
6
💕Mary da cute💕 :
@💕Mary da cute💕: Weee nilisusa sk hiyo pesa ya mwanaume wangu ilikuwa 100000 tu apo tumegombana sana njia nzima niliipokea ile hela alaf nikamrushia hakuamini apo kwny pochi nina 1200 tu na sijui naenda kuwalisha nini watt wanarud shule sina hata mia sehem nyingine zaidi ya hio elf moja 200 aiseee toka sk io nikasema kweli mm ni muhehe og jmn sijamix popote iki kidada ni pro max😂
2026-07-18 20:30:05
6
Adebahatz🇹🇿 :
me mbena mhehe ila kuzira nawazidi wahehe kabisa
2026-07-18 21:38:05
9
binti sayuni❤️🫶 :
najivunia kuwa mheh kwa kwel 😂😂😂😅😅
2026-07-18 18:04:56
12
Lilian :
we dada upo ulukuaga wap
2026-07-19 11:55:38
3
officialrosse2 :
mim sio mhehe ila nikisimangwa wakat wa kula nasusa