Watu wa twarika niwandawazimu ingekua ni watu wenye akili zao wange fahamu Yani la ajabu Hawa jamaa wako radhi waende kinyume na ALLAH na mtume wake Kwa ajili ya mabwana zao Kuna wakti hufika ALLAH na mtume Kwao sio lolote ikawa matamanio ya nafsi zao ndio kila kitu pamoja na hao mabwana zao hii mijitu ovyo ovyo kabisa
2026-07-18 17:05:35
14
Khalid Hemed :
mbona yako wazi hakugawa mtume wala mola walaaswahaba Bali ibnu taymia ndie aliegawa hii ni bidaa na mawahabi wasema Kila bidaa ni upotevu na Kila upotevu ni motoni wasema hakuna bidaa njema bidaa zote ni upotevu kwahio vigawanyo vya tawheed alovizua ibnu taymia ni upotevu na ni motoni
2026-07-18 22:42:14
4
user76732086815301 :
shk Muhammad bachu mungu azidi kukuhifadhi tunakuelewa sn bana
2026-07-18 16:36:56
13
ุงูุณูุฏ ุตุงูุญ ุงูุฃูุฏู :
HAWEZI BINADAMU KWA WAKATI MMOJA KUWA MUUMIN NA NI MUSHRIK ....
UKIMUONA MTU YUWAMSHIRIKISHA ALLAAH S.W BASI HANA IMANI WALA IBADA YA ALLAAH S.W NA UKIMUONA MTU YUWAMUAMINI NA KUMUABUDU ALLAAH S.W BASI HUYO SI MUSHRIK HATA KIDOGO ...
IBADA NA ITIQADI HAZIWACHANI HATA KIDOGO
2026-07-19 03:39:18
3
Ihyaaul Islaam :
Hawa jamaaa Yani subhhaana Allah sijui kwann hawaelewagii
2026-07-19 12:01:30
3
wellfarmed :
hehehe, kwa hivyo unaweza kumshirikisha Allah na kumpwekesha at the same time?? subhaanallah
2026-07-19 05:36:47
1
zogogy :
kwani kumuomba Allah rizki si ibada?
2026-08-03 21:47:19
0
supu :
nna swal kwan kwend kwa mganga n kumshirikisha mungu jamn
2026-08-05 12:01:16
0
Khuzeima Bereky :
HAKUNA AYAH WALA HADITH ILIGAWANYA TAUHID KUIFANYA TATU.
RUBUBIYAH ULUHIYA ASMAA WASIFAT ZOTE NI MOJA NA SITATU
Nakubali hiki n kichapo kizur sana Alhamdulillah alaa ne'emati sunnah
2026-07-18 20:03:17
1
ุงุจู ูุธู :
mashaaallah shekh muhammad bachu kwa kuwafahamisha maghurafi aina za tawhid
2026-09-04 07:35:52
1
user9903337001 :
hilo ni jambo moja tu
ูู ูู ุฑุจู ูุง ุงูู ุงูุง ูู ุนููู ุชูููุช ูุงููู ู ุชุงุจ
2026-07-19 06:39:36
0
Aอ&Hอ๐ :
kazi Yao Niku jipiga kifua na kutafuta masifa kwa watu na ilhali wanajua ukweli Allah awaongoze Wana kata debate nusu alafu wanajifanya kua ndio wanao jua dini....mwanzo katika maswali aliyo ulizwa hakujibu hata moja alikua ana ruka kijanja kama sungura hakuna ajuwalo ....
2026-07-18 17:08:19
1
ุงูุณูุฏ ุตุงูุญ ุงูุฃูุฏู :
IBNU TAYMIYA R.A NI MWANACHUONI MKUBWA BILA SHAKA LAKINI BADO ATABAKI NI BANADAMU HUPATIA NA HUKOSEA KAMA WANAVYUONI WENGINE ...
KUGAWA TAWHEED SEHEMU TATU NI IJTIHAAD YAKE NA HILO SIO TATIZO BALI NI UPEO WA FAHAMU YAKE ULIMFIKISHA HAPO NA THAWABU AMEPATA KWA ALLAAH S.W...
ISPOKUWA TATIZO SASA NI KULAZIMISHA UMMA UIKUBALI HOYO IJTIHAAD YAKE KWA LAZIMA KANA KWAMBA NI NASSWI YA MOJA KWA MOJA KUTOKA KWA MAASUM !!!
NA TATIZO LENGINE KUWAHUKUMU MAJORITY YA WAISLAMU KWA DHANNA MBAYA YA ( SHIRK ) KWA KUONA TU BAADHI YAO WAMEZURU MAKABURI AMA WAMETAWASSAL NA WATU WEMA NA MFANO WA KAMA HAYO ETI TAYARI HAO NI MAKAFIRI NA NI MUSHRIKINA ...
NARUDIA TENA NAAMINI SHEKH IBNUTAYMIYYA NI MWANACHUONI MKUBWA SANA LAKINI IJTIHAAD ZAKE KATIKA ILMU NI KAMA ZA WANAVYUONI WENGINE HAZINA ULAZIMA WA KUFUATWA NA UMMA WOTE ... NA KAMA SI HIVYO BASI ITABIDI UMMA WOTE UFUATE IJTIHAAD ZA WANAVYUONI WOTE KWA SABABU ZOTE HIZO NI IJTIHAAD ZA KIILIMU KWA WENYE KUFAHAMU ...
maadamu Una mwamini Allah huwezi kumshirikisha kwahivyo tauhidi.tatu.hakufundisha mtume sasa nyinyi mwamrekebisha mtume.kwamba amesahau tauhidi tatu.akafundisha moja
2026-07-21 12:02:44
0
bin najim abaya :
Allah azidi kumpa elimu sheikh Muhammad bachu na amuhifadh
2026-07-25 03:42:01
0
SHEKHE SIRAJI :
Mashaallha wataelewatu mafufi
2026-08-02 17:43:25
0
cryptodetailers :
Mm si twarika lkn tawheed tatu kama sitaki hio migawanyo nakufuru?
2026-09-04 16:36:48
0
RIDE WITH ASHWADH :
si amejibiwa ama
2026-09-01 08:39:43
0
my name :
masifa tu ungerecodi na yote mbona nusu
2026-07-26 00:05:57
0
swafiamohamed397 :
ุฒุงุฏู ุงููู ุญุฑุตุง ูู ุงูุชูุญูุฏ .
2026-07-19 06:41:07
0
To see more videos from user @abuu_naufal, please go to the Tikwm
homepage.