@vigourhealth: Replying to @Bugatti 369 #tiktoktanzania🇹🇿 #tibaasili #tibambadala #tibaasilitibambadala🇹🇿 #asili

VIGOUR MEDICS🌿🩺
VIGOUR MEDICS🌿🩺
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 18 July 2026 15:12:23 GMT
159098
4829
196
1133

Music

Download

Comments

nguobeirahisi0
NGUO BEI RAHISI :
na tende jmn ninaushuhudaaaaaaa😁😁😁😁
2026-07-18 17:09:47
86
bintyshah_
Bintyshah :
mkipata yakupunguza maumivu ya uchungu piz
2026-07-18 18:14:58
33
missmayacio.tz
charming girly :
ngoja nisave itasaidia miaka ya mbele
2026-07-18 23:02:59
52
user4866172995823
Givanaah🥰❤️‍🔥🫂💞 :
ngoja nisevu itanisadia one day ☺️☺️
2026-07-19 08:10:45
4
vickiebedsheet
finegirl :
Mmh hospital tumekatazwa dawa za kienyeji 🙆‍♀️
2026-07-19 06:19:02
11
saggitarius189
it's Martha ❤️💋 :
mama yangu alinielekeza hio dawa uzao wangu wote natumia tena uchungu wa kupoa
2026-07-18 17:44:00
8
bamojaid
Ba'Mo :
mbona Ai anasema not recommend kwa waja wazito🥺
2026-07-21 06:36:13
2
mammy0406
Mammy🥰 :
Huu ni mziwaziwa au???
2026-07-18 23:20:15
0
myna77776
Mafly :
nimewahi kutumia kwa ajili ya vidonda vya tumbo
2026-07-19 07:09:18
11
yusra.jamal36
Yusra Jamal :
na mkunazi pia unafanya kazi haraka sana ukifika wiki za mwisho
2026-07-19 11:30:02
0
ritahemmanuel153
Ritah Emmanuel :
nikweli kabisa ndo natumiyaga nikikuwa karibu nakujifunguwa unaongeya kweli kabisa ata mtoto kutembeya mapema wangu wanatembeyaga miyezi 7
2026-07-21 07:22:31
3
cutemyma255
cute mymà :
ban tunatk kuzaa Kwa uchunguu
2026-07-20 08:55:25
1
jojoleonard63
🦋Romanticeyes😋🥰 :
Huu ni mbatabata au
2026-07-18 16:54:50
2
sherrykhaly
Sherrykhaly :
Leta dawa ya kuzima uchungu
2026-07-26 05:01:38
1
user6352034611550
nanah 💓 :
tende jamn nzur
2026-07-24 15:14:51
1
yothanbasil
Yothan Basil :
kama kuna mhehe humu ndani anisaidiee inaitwaje kwa lugha yetu
2026-07-20 07:56:13
0
catherindonatho
catherinedonatho :
mm najua ni dawa ya vidonda vya tumbo
2026-07-19 12:05:50
0
ritahemmanuel153
Ritah Emmanuel :
sahidiyeni watu awajuwi chochote unafundisha watu sahihi kabisa Ubarikiwe kaka
2026-07-21 07:24:08
1
dodu3.0
Dodu3.0 :
the doctor
2026-07-18 19:36:08
2
mrsjimtu
MRS JIMTU :
hako la hawe
2026-07-19 08:12:13
1
edabda.official
Edabda official :
kwa wenye changamoto ya kutokupata uchungu.. inasaidia??
2026-07-18 20:27:45
4
ms.swyber
ms.swyber :
samahani, yanapatikana wapi?
2026-07-19 06:15:11
1
queenbeee051
queen bee😻 :
Dawa ya h pylori plz
2026-07-18 19:29:19
0
dazuu17
Business Lady. :
mbona mmechelewa hadi nimepata cs 😭😭
2026-07-19 09:02:16
1
khaimarkhamis61gmailcom
Khaimar :
nimetumia na imenisaidia
2026-07-19 04:44:20
1
To see more videos from user @vigourhealth, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About