@gharib.ommy:

Gharib Ommy
Gharib Ommy
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 18 July 2026 15:38:10 GMT
20760
497
33
130

Music

Download

Comments

buji_bumb
B P K :
Daa ilikuwa raha enzi hizo tuko watoto
2026-07-18 19:06:17
6
kazijali
kei :
jamani laha kweli chimbeni
2026-07-19 09:55:42
3
faika.khamis.maso
faika khamis masoud :
haziniishi hamu jamani maigizo hayo.mashaulllah kwa kweli ni funzo Allah awalipe kheir
2026-07-19 05:13:02
4
omarle_gigante
Omar Omar :
nime kumbuka mbali
2026-07-19 16:44:35
1
babliy627
Babliy :
Mzee Chita ulikuwa safiiii katika wazee hizi tamthilia zilifunika visiwani 😂
2026-07-19 16:42:06
2
user5051532616541
shehan :
hayo ndio malezi tuliofundishwa saahiv mchanganyiko umetuletea mashaka imani imetoeka mtoto anampiga mzazi wake mpaka kumuuwa 😭😭😭😭😭
2026-07-18 21:38:05
3
ctyamiry
ctyamiry :
jamani naipenda michezo hii lkn ZBC hawaitowi kwa nn😂😂😂
2026-07-19 17:21:30
1
queensalsa194
queensalsa1 :
2026-07-19 18:50:22
0
rashidabdallah51
Å77Zinjibar🇦🇪🩷🇹🇿 :
nna kazi za watu 😅😅
2026-07-20 05:32:55
0
user4081200712991
amara :
Nimeskia kwa mbali 😄😄😄
2026-07-19 12:21:57
0
faridah7423
Hawe Risa :
Wazamani ela siwaleo
2026-07-19 19:51:09
0
jaffar.ameir.jeff
Jaffar Ameir (Jeff) :
lkn kisheria Talaka inakuwa ndio imesihi isipokuwa, Akimwambia tu Mke wangu nimekurejea basi tayari Ni Mkewe Bila Shaka yeyote ile , ila Read 📚 Kadi moja tayari hiyo😂🙏🙏🙏😂
2026-07-19 13:26:06
0
moza.moza421
Moza Moza :
😂maigizo kama haya yana mafundisho ndani yake ya zamani zilipendwa
2026-07-19 19:44:45
1
28.6.29.9.28.10
28.6 29.9 28.10 :
Eti wapi
2026-07-19 11:57:31
0
nasramohammed449
Nasra Mohammed449 :
he ammi mkali!
2026-07-19 07:52:13
1
user886885505
user7586429469963 :
nmeskia kw mbli
2026-07-19 04:50:27
0
ctyamiry
ctyamiry :
Bwana Mashaka mashaallah Mungu akujaalie Kila la kheri🥰
2026-07-19 17:21:59
0
3m2751
3M :
Yameisha hayaaa saivi wazee ndio wanaitwa wanga
2026-07-19 03:12:36
2
abdul.hafidh02
Abdul Hafidh :
ilo ndio tatizo la kupewa mke na wazee
2026-07-19 11:38:44
0
babliy627
Babliy :
Bi Mkasi😂😂
2026-07-19 16:44:53
0
user1309107966380
MS.JUMA :
mzee chita ulikua uko vizur mzeee
2026-07-19 14:41:48
0
adlsonyy
adlson :
Ami karusha ngumi
2026-07-19 17:24:49
0
datuuomary6
datuuomary6 :
Sasa yeye mwenyewe anasemaje chimbeni uyo wanatakana😄😄
2026-07-19 13:17:59
0
ulla010gmail
MTU.MBAYA" :
😃😃😃 atikisa pendo
2026-07-19 10:24:24
0
To see more videos from user @gharib.ommy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About