@almasizake68: Tumeshaachana part 1,,ivi Wababa kama hawa mtaani kwenu wapo kweli au ni maigizo tu jamani?😳🙌@veeinsipire💜 location @Jadea Residence #fyyyyyyyyyyyyyyyy #viraltiktok #trending #trendingvideo #videoviral
Mungu akulinde sana dada angu kwa huo moyo ulionayo dada angu
2026-07-19 03:22:03
141
fatumahamisi812 :
dada saf San mwambie
2026-07-22 09:16:06
0
user29382618484906 :
dad hongera san
2026-07-22 13:42:24
0
makesh :
good girl
2026-07-22 17:32:16
0
flr :
dada umetoa elimu sana hii
.na hizi ndio movie zenye watu wanatakiwa kuonyeshwa kwenye sehemu mbalimbali...maana dah
2026-07-19 04:56:55
84
MWEMBE :
wanawake kamq hawa wapo wapi?
2026-07-19 06:46:11
25
MARYNESS :
Barikiwa sana kipenzii
2026-07-18 18:52:56
25
ABDU :
DADA PAMOJA NA UNAFANYA ACTING UMEGUSA MIOOYO YA WATU MMOJA NI MIMI NAKUPA BIG UP..KAMA KWELI 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-20 07:16:31
29
missnino 69💞💜 :
huy mdd ni km mm ksbsaa yn
2026-07-20 05:37:35
18
Makoye Gapi :
dada Mungu akubaliki
2026-07-19 11:10:49
10
user66578701590546 :
nmekupenda bure mdogo wangu mwenyezi mungu azidi kukutunza vyema mtoto wa mwenzio niwako na mungu akuongezee ulipotoa pia🙏
2026-07-19 04:02:31
27
ZENA RAMADHANI :
unaroho nzuri mwanangu
2026-07-18 19:26:27
12
Lukrexhia :
kugombana na mama usigombane na watoto
2026-07-18 20:39:50
17
Jasri Rabsoni :
hii ni Moja ya content Bora saana,wanawake kama hawa bado wap kweli.
2026-07-22 04:49:06
6
sarwattemanuel :
safi sana binti una ubinadamu
2026-07-19 04:08:24
12
Ibrahim :
hongera dada una moyo ❤️mzuri sanaa
2026-07-19 04:02:02
13
Luyc😘 :
Hizi ndio contents sasa 🥰 Hongera sana
2026-07-19 05:34:20
12
cynther :
ugomvi wa wazazi usihusishe watoto
2026-07-19 03:51:50
7
mage :
safi san dada kunywe soda nitalipa
2026-07-18 17:12:55
10
Mwanavita Mwanavita :
hongera dadaangu kwaelimu uliowapa wanaume walio telekeza watoto wao kisa mapenzi mpya mungu akuzidishie
2026-07-20 13:34:32
5
Ganalltsour🗽🍻❤️🔥🖕 :
wafundishe hao wanaume ambao wanaotuwachiya wtt nimeopenda hii maana hawa wanaume wapo wengi wenye dizaini kama hizo
2026-07-19 05:53:44
5
Edita benedictor🇹🇿 :
dada unapepo yako wanawake wote tungekuwa kahivi tungefika mbali sana baadhi ya wanaume zawatu mtihani sana nilishawahi kugombana na mwanauli sikumoja alipigiwa simu namkewe kuhusu huduma za watoto alimjibu hovyo nikamwambia siovizuri nikaanzakumsema dah siwezikusahau hiyo siku nililia sana tangusikuhiyo nilivyoondoka sikurudi tena
2026-07-19 05:08:02
4
Bwam muu :
huyu mtoto ni mie ila Mungu ndy anojua angalau yeye uyo amepew ela mie baba yng ajawah nipa ata 50 toka niko mchanga alipoachan & mama yng adi leo Nina umli wa 35 salam ya baba sjui & yupo hai atajijua mwenywe huko Mazal hanijal ila Mungu awajalie Kilala kheir akin Mama ote na umli & mwisho mwema
2026-07-19 07:59:58
9
Frackson John :
mwenyezi mungu akutunze sister barikiwa saaana
2026-07-23 10:53:44
1
To see more videos from user @almasizake68, please go to the Tikwm
homepage.