@pastorgregoryhappydaudi: Kama unafanyaa Kwaajili ya masilahi yako binafsi na sio YESU kutukuzwaa wewe haufaii UNABII SIO KUTISHIANA kwasababu MUNGU wetu ni Mungu Mwenye upendo Sanaa kuna watu Leo wameaachaa MISINGI yanafanyaa Ili Huduma zao ziwe KUBWA zifaamike na sio YESU Mimi nikwambie unapotezaa mudaaa. Kama wewe ni Bishop,nabii, apostles, Mchungaji,mwalimu tusiache MISINGI ya Huduma hizi Aliyetuitaa ni Mkuu sanaaa Kwasababu yeye aliyekutaa atakupaaa Tu. Endeleaaa kuwa mwaminifu hajawahi Kula cha Mtu, Sisi sio content creator Uamsho ni Agenda Miaka kumi na Tatu ya Moto #tiktokviral #pastorgregorydaudi #tagonlinetv #global #Wasafifm