@islamic_rihla: Ubora wa kweli hauonekani tu mbele za watu, bali huanza ndani ya nyumba. Mke, watoto na watu wa karibu ndio wanaopaswa kushuhudia tabia njema, huruma na uadilifu wako. Hivyo ndivyo alivyotufundisha Mtume ﷺ kupitia mfano wake. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH JAMALUDIN OSMAN 🌱 Usiache kheri iishie kwako. 📤 Shiriki video hii, huenda ikawa sababu ya mtu kujitathmini, kuboresha tabia yake kwa familia yake na kupata ujira kwa idhini ya Allah. ❤️ Like • 💬 Toa maoni • 🔖 Save • 📤 Share 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #islamic_rihla #islamicvideo #uislamu #islamic #islamic_rihla 🟠 FOLLOW US