jamani hii ni kazi kana zingine tusiwaweje wenzetu kwenye mazingira magumu hawana shida na mtu kama wewe sio mhalifu watakupenda sana nilipata rafiki polisi nilifurahiasana
2026-07-19 19:28:47
8
tina :
mmmh! nimekosa hata cha kusema'
2026-07-19 11:51:39
15
Santashii bukh nah♥️ :
Kuna watu wanaongea kama wao ni malaika wa duniani mungu awasamehe 🙌
2026-07-20 08:51:53
3
ma sasasha :
swali langu
au niache.tumsifu yesu kristo
2026-07-19 18:51:19
6
Katemi :
kumbe walioua ndg zetu ni ndg zetu ktk imani. mungu niseme nini sasa
2026-07-19 15:35:53
9
vow of god 👑 :
hivi hizi sare bado zipo kweli?
2026-07-19 19:19:54
1
Godifrey :
Mi nilichogundua hawa jamaa imani wanayo.Ila hawataki dharau.
2026-07-19 19:07:37
4
peace maker🍇 :
oyaa kumbe familia kabisa 🤣
2026-07-19 20:21:38
1
upendo :
Mungu awe nanyi daima kazi yenu ni Ngumu Sana inahitaji Mungu kuwasimamia hongereni watumishi wenzangu ktk kristo
2026-07-19 14:24:20
7
DONE 👍 :
raha sana jamani najivunia jeshi wakati mwingine
2026-07-19 15:50:59
3
user9925818438245@abisaihosea :
Hakuna
2026-07-19 12:16:09
1
maikony :
mungu ni mwema
2026-07-19 14:57:41
1
simply_carry🧿 :
kama sio wenyew vile😕😕
2026-07-19 20:52:38
1
Jose Palakas :
vibaraka wa samia
2026-07-19 17:25:15
1
To see more videos from user @satu.tarimo, please go to the Tikwm
homepage.