SantaGal💫💫,, :
Nilikuwa nimecrushia my maths teacher highschool,,, ilinibidi niingie department room,,,nilienda kwa desk take nikafungua bag Fulani alikuwa used kuibeba ad nikatoa wallet nikaiba Kapas port pic yake,,,waah sema kubrag kwa class ad nikaistick kwa locker,,,waah romours zilispread zikafikia deputy,,waaaah sema kutoka lunch napata Sina locker,,,waah kumbe iko kwa deppa,,,🥺🥺waah case ilianza hapo sasa🥺Wacha tyuu ninyamaze coz Ni long story 🤦,,,
2026-07-26 10:09:12