@daily.speach: HABARI NJEMA KWA WATU WA ARUSHA NA TANZANIA KWA UJUMLA

daily speach
daily speach
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 18 July 2026 17:55:43 GMT
33821
1814
87
92

Music

Download

Comments

mdosiiii
Soul Sparks✨ :
Jesus take the Glory🤲🏽
2026-07-19 13:30:10
0
philmlelwa1
user1386674718559 :
true man from heaven with pure heart
2026-07-19 11:09:24
1
michael.jacob408
Mike Dee :
great focus
2026-07-19 12:39:28
0
39pablo
Pablo Mbuya :
Glory to GOD 8
2026-07-19 13:50:08
0
user957789923987
Japhet Mollel :
sijui ufanyaavyo! ila nachojua unakamilisha Ee Jehova jire🙌🙌🙌
2026-07-18 19:33:11
16
joashmigosi5
Josh :
wisdom
2026-07-19 02:58:45
1
jooben15
JooBen :
Bodaboda usitusahau parking mtumishi 🙏🏻. Maana hapo zaidi ya Mara moja umetaja magari tuu
2026-07-19 05:24:52
10
roadmanbeast
Roadman :
majina ya izo asset ni nani?
2026-07-19 01:00:22
4
lastborn_mkinga
Mr Mahenge :
ukuta milioni 300
2026-07-19 06:42:49
3
user4980061707288
user4980061707288 DR MVANDA :
wame nunua eneo la mungu kwamba mungu Hana aridhi na Hana uwezo wa kununua wame amua kumnunulia mungu huyu tuna mdhalilisha
2026-07-19 14:53:24
0
vedasto25
SAYUN EAGT BOY :
nimeokoka nataman kufika mbingu dunian
2026-07-19 07:34:29
1
givembwilo0
give mbwilo🇹🇿 :
vyote ni vya mungu,na vimeumbwa na yeye,tena mmemnunulia mungu😂😅eneo,dar nachoka mimi
2026-07-19 18:02:10
0
happymsuya447
💕Happie💕=💙 :
Na walimu tupo
2026-07-19 00:46:59
2
damar.jonson
DAMAR JONSON :
Amina,, mtumishi naomba unitumie account number,, nami nijiunganishe na huruma hii ya mungu anikumbuke
2026-07-19 02:48:27
2
nelly.william34
Nelly William :
umetufundisha mambo mengi Mungu akutunze
2026-07-19 04:54:28
2
user9187259088667sherry
sherry martin :
na hapatatosha huduma inaongezeka Kwa Kasi sana
2026-07-19 10:44:02
1
nabuluu
blackrosen :
Nitajenga Nyumba ya MUNGU .. hata kwa kidogo nitakachobarikiwa
2026-07-19 06:59:07
1
meshaki.saidy
meshaki saidy :
mungu akutuze
2026-07-19 07:06:13
1
adelphine.kaganda
ADELPHINE KAGANDA :
Katoro geita ☺
2026-07-19 05:11:09
1
_kibokoyao0
_Kiboko :
Mzee anaona mbali sana
2026-07-19 06:56:10
1
winnie84675
Winnie :
Nakuombea uzidi kuifanya kazi ya Mungu kwa moyo wako woote Mtumishi 🙏nasi tuzidi kubarikiwa tuweze kuijenga hekalu ya Mungu takatifu
2026-07-18 20:54:22
2
emmanuel.mwandu
Emmanuel Mwandu :
Mungu azidi kuchanua ndani yako
2026-07-18 20:26:59
2
dickson.swai8
OFFICIALLY D BWAY TZ💸🇹🇿🔥 :
Ameen
2026-07-19 03:23:04
1
barackstor
Baraka Mwacha :
Kwani eneo hili lipo chini ya nani sio lakwako mkuuu??
2026-07-19 06:33:20
1
To see more videos from user @daily.speach, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About