@jukwaa.la.maarifa: ‎Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Amegusia Juu ya Wamama Ambao Wamekua Na Tabia za Kuwaambia Watoto Juu Ya Mabaya Kuhusu Baba Zao ‎ ‎Sheikh Dkt Abdulrazak Amir Amewaasa Wamama Juu Ya Tabia Hizo za Sababu Mtu Ambaye Anapata Nyakati Ngumu Na Kuathirika Ni Mtoto Na Si Baba Wa Mtoto

JUKWAA  LA MAARIFA🕌
JUKWAA LA MAARIFA🕌
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 18 July 2026 18:06:31 GMT
15911
433
50
303

Music

Download

Comments

kibibi.kassimu
KIbibi Kassimu :
mmh shekheee we Acha tyu usemeee
2026-07-18 19:11:05
1
adamsufian85
ADAMSUFIAN :
yes Bro 👌👌
2026-07-19 20:52:41
0
sssumyan
sssumyan :
action speak louder than words,, maneno ya mama ya kiendana na matendo ya baba chuki itaingia ,na kama maneno hayataendani na matendo ya baba mtoto huezi Jenga chuki ,, hta mama aseme vip
2026-07-19 09:28:51
2
user6903639410787
who666669 :
sasakamakweli tufanyeje?
2026-07-19 06:45:16
1
abdulrazakamir
AbdulrazakAmir :
Kama huwezi kumwambia mazur khs baba yake basi usimwambie mabaya
2026-07-19 07:18:19
2
said.miksa
busy :
true
2026-07-19 03:50:33
1
soja6472
soja :
waambie
2026-07-19 08:43:06
0
dms8080
DMS :
Umeongea jambo zuri saana Allau akuhifadhi
2026-07-19 07:05:46
1
ksaid81
ksaid :
💯
2026-07-19 14:38:51
0
raiyan3o7
Raiyan :
kweli
2026-07-19 19:32:09
0
user29908259724084
user29908259724084 :
sio kweli kwani watoto ni vipofu wanaona matendo ya baba zao na baba wengne hawana muda na watoto kwahyo sumu itategemea matendo ya baba huwez kuwa baba bure hlf mtoto akuone baba bora msitusingizie
2026-07-19 17:20:27
0
sakina.ndosho3
Sakina Ndosho :
Mmmh
2026-07-19 18:54:15
0
zaituniathuman425
ZaituniAthuman :
Kuna watoto wengine unawaficha lakini wanaangalia sura wanamwambia hapa hapako sawa
2026-07-19 19:07:54
0
sadikimnkande
sadikimnkande :
watoto wetu haswa wakiume wanajazwa maneno namama ila baba hatangazi ubaya wa mkewe
2026-07-19 18:17:18
0
angelinejulius
angelinejulius :
hapo si sawa watoto wanaona na kama
2026-07-19 15:52:04
0
user1268675066008
⚘️🌺Ummul kheir🌺⚘️ :
hawaambiwi wanaona wenyewe
2026-07-19 14:32:50
0
tillionnana
Tillion nana :
Sahihi kabisa 👏👏👏👏👏👏
2026-07-19 14:30:57
0
zaituniathuman425
ZaituniAthuman :
wwajue maana so vzuri
2026-07-19 19:06:55
0
user3035397222236
bashiri h malaga :
kweli kabisaa shekher wngu 🙏🙏
2026-07-19 07:57:26
0
user7367058260167
MZEE WA RAHAA :
swadakta maalim
2026-07-19 07:49:18
0
khadijasuleshy1
khadijasuleshy💋 :
kuna wanaumee piaaa wanafanyaaa hayooooo tena san
2026-07-19 19:44:30
0
rayunarayunaa1
Rayuna Rayuna❤️ :
Watoto wanakua wanajua kilakitu
2026-07-19 13:45:13
0
rayunarayunaa1
Rayuna Rayuna❤️ :
Kama baba kawatelekeza watoto tokea wadogo wala hawaulizii inakuaje
2026-07-19 13:44:56
0
madamwangu04
Rita.Rita💃 :
nabado mbona sheeee
2026-07-19 09:41:17
0
saidnairobi
Said Nairobi :
naam sheikh waeleze wabadilike tabia hiyo huchangia haki ya watoto kupotea
2026-07-18 20:29:09
1
To see more videos from user @jukwaa.la.maarifa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About