Mbona mm niki like status watsap zinakuja emoj za mpira🤔
2026-07-19 10:11:28
441
Brayton joel :
Kwani zuchu amefanyaje jaman? Me ndo nimetoka kukopa simu jana
2026-07-19 09:34:31
234
Koba Boy :
punguza ushauri kwenye maisha ya watu mkuu tupe mastor yetu 🤣😂
2026-07-18 18:36:10
322
half caste :
sio kila anae omba msamah anajutia kosa, mwingn anatafuta chance nyngn ya kukumiza
2026-07-19 10:08:21
219
Enjoy 🎉 :
me ananichekesha kwa sabbu aliingia kwenye ndoa na mtu ambaye tayari anamjua
ubaya ni kwamba sis wanawake tunatabia ya kujipa moyo na kujisahau
Huwezi kumbadilisha mwanaume ambaye hajaamua kubadilika
2026-07-18 23:26:35
168
Anjlom🥰❤️ :
Zuchu hanichekeshi sabab tunayopitia ni sw
2026-07-19 04:30:58
75
Favored_mama Himmy :
Ni kweli kabisa na sio zuchu tu,,,tupo wengi ambao sio watu maarufu wala sio wasanii waina yoyote lkn bado sisi ni ving’aanizi
2026-07-18 22:13:25
62
Mrs me🥷 :
Zuchu na mm tofauti yetu ni umaalufu 😭😭😭
2026-07-19 06:23:11
39
Trinah lutious_Og :
Mimi wala simchekiii🥺🥺🥺
2026-07-19 06:26:50
5
gee :
npo kwenye mahusiano mara4 Kam y zuchu😆😆
2026-07-19 04:13:22
7
Uazuri🌹 :
Mi mwenyew nilisema sikuona kosa la Nassibu 🙌🏾😁
2026-07-19 10:46:08
10
Saida🧕🏻 :
Sina tofauti na zuchu ni vile mimi sio mtu maarufu🥺
2026-07-19 05:55:20
20
Miss Alicia 💞 :
Kina zuchu Tupo Wengi ni vile sisi wengine Sio watu maarufu nchini