@tevar_demas: Epuka kufanya mambo haya unapoamka asubuhi. 📽 Video Credit @Joel Nanauka More Videos: 👉 FACEBOOK: @tevar_demas INSTAGRAM: @tevar_demas TIKTOK: @tevar_demas
1:kusikiliza au kusoma habari mbaya
2:Usianze siku yako kwa Malala Miko
3:Epuka Kutumia muda mwingi kwenye social media
4:Usianze siku yako bila malengo
2026-07-19 07:59:37
62
Iron butterfly :
thankful brother 🙏
2026-07-19 14:18:46
0
Graciouskall :
Social media Dah🥹🥹🥹
2026-07-19 17:14:53
0
Baadru__ :
kama una mkubali joel nanauka gonga like
2026-07-19 05:38:20
43
Angie :
na Kuna sisi ambao tunakurupuka😅😅
2026-07-19 15:10:08
1
FM :
kwan huy ni nan jaman
2026-07-19 01:31:33
3
Nora Mach :
2026-07-19 10:42:07
1
Dullym :
kweli mkubwa
2026-07-19 13:41:59
2
Beatrice Mollel :
kuna mda najikatia tamaaa nakutafta humu naskiliza mafundisho yako namka tena
2026-07-19 04:32:42
7
Bint chiccotz1🇹🇿 :
Ameen
2026-07-19 05:22:52
3
Upepo Stephano :
sasa mimi niki amka tu nafunika ubongo wingu zito la furaha
2026-07-19 04:30:23
3
Niache kidogo :
G. MORN
2026-07-19 04:50:12
2
Trude🎀🧸 :
🥰Amen 🙏
2026-07-19 07:43:43
1
marry pascali :
nakupenda sana my brother🥰
2026-07-19 04:23:39
2
mchungajiamosi :
Ni kweli kabisa, yani hiyo hata kwenye biblia warumi 10-17
2026-07-19 06:23:52
2
iranda nail💅 :
amn
2026-07-19 04:38:26
2
ventifact _18 :
nisingekuona saiz Leo asbh
2026-07-19 04:10:23
1
Adams™🦅 :
yes kalibu kwenye life Dom scilikzi
2026-07-19 07:20:23
0
ALICE YOHANA :
Amen
2026-07-19 05:34:56
1
Debora Idd :
yan kma nilivyofungua tu hp nimekutna na ile tarifa Vifo was wansfunxi nimeliaa hd furaha ya birthday yngu imekta
2026-07-19 04:23:13
2
Silvia@Godlady :
Wacha nikufollow
2026-07-19 13:02:08
0
olivier kasigwa, :
wewe nakukubari
naku fata kutoka uganda
2026-07-19 16:14:20
0
Irene Mollel :
Ahsante sana Mh. Mbunge na Waziri wa Vijana Tanzania🙏
2026-07-19 18:27:57
0
Julieth Laizer :
Joel hapa yenyewe nakusikiliza wewe hapo je hapo natumia mtandao wa kijamii
vibaya 😊maana ni asubuhi sasa
2026-07-19 14:44:16
0
JACKIE🥰 :
kwakwel 🥰
2026-07-19 16:17:12
0
To see more videos from user @tevar_demas, please go to the Tikwm
homepage.