@mariestore_tz: Cute botton up pjs 🌸 Jamani hivi ni kweli napaswa kusema chochote juu ya hizi pajamas….😍 naombeni mnunue kabla sijaanza kuwauzia Mixa😂 anyways tunauza pajama ndugu zangu pajama zetu ni nzuri material ni pure cotton yani when it comes to quality guyssss pajama zetu hazina mpinzani tunauza quality 📍Makumbusho delivery ipo na mikoani tunatuma kwa uaminifu…..karibuni sana tupo tayari kuwahudumia😍 #fyp #pajamas #SmallBusiness #trending #tanzaniatiktok