ili swal niliwah muuliza mume wa mtu na alikua muwaz adi raha alijisemea zake tu(wewe ni mpenz wangu mtu unayenipa furaha muda wote sina malengo yoyote zaid unajua siwez kukuoa nimeshaoa acha tupendane tyuuu😁😁😁😁😁😁😁
2026-07-19 07:09:16
166
ms- mayra❤️🧕🧕🫂 :
kama regina kaulz mm ninan nisiende uliz mtt wa mtu😂
2026-07-19 02:04:26
141
BIANCA BEBY🌹💕 :
Regina kafika mbl jmn malengo ya nn sasa hapo😂😂
2026-07-19 06:18:44
55
Mhandisi Lucia Haule :
Hehee hadi mke wa mtu anauliza mimi ni nani😁
2026-07-19 04:11:58
106
sonia Manyanda :
nimepnds hko ka feeling aaaaahhh🥰🥰
2026-07-19 07:32:16
1
kaylah mkumbo99 :
mm niliambiwa we unatakaje🤣🤣
2026-07-19 10:02:07
8
FORRTIS :
ila wake za watu bhn😂😂😂
2026-07-19 03:57:36
47
dijjah :
hili swali nikimuuliza mume wangu nitaliaa mwaka mzma bila kunyamazaaa yoooooohh
2026-07-19 10:26:50
11
najmasaidi511♊ :
Nitakuoa 😂😂
2026-07-19 04:19:39
9
Linah silayo :
hahaha mim niliambiwa nitakuoa kisirisir 😅😅😅😅 kwasabab nina mke tayar na sitaki kuharibu familia yangu 😂😂😂
2026-07-19 09:46:00
9
bourkelly@ :
mimi mme wa mtu nilimuuliza una malengo gani kwa kweli alikuwa muwazi alinijibu mm siwez kukuoa ila nategemea wew ndo uwe furaha yangu siku zote na ukipata mtu unaeona ni sahihi kukuoa mimi Sina hiana kiufupi tutakapoishia ndo hapohapo
2026-07-19 08:52:16
7
Trendnest_collection :
Mtu anauliz malengo unaanz kusema nakupenda😹😹😹
2026-07-19 06:15:22
12
♥️Geeh 001🥷 :
Kumbeee kuna malengo Kati ya kijana na mshangazi😂😂😂 basi mpenz wang nimempotezaaaa maan yupo kwa mshangaziii wakeee daaah 😂😂😂😂
2026-07-19 05:34:28
18
Am Linah. ♥️🇹🇿 :
ukiona mwanaume unamuuliza swali la msingi alafu anakupa maelezo ya ubize huyo sio wako 😂😂😂
2026-07-19 06:22:37
6
GLORY ❤️🦋🌹 :
Wenzetu ao☹️🥹
2026-07-18 23:22:23
9
Rab 🥰 Angel 🇸🇦🇰🇪♥️ :
mbona inahung kipenzi🤔♥️
2026-07-18 20:38:12
10
mcutehney :
ofisi ya prof ni ya mapenzi tuu
2026-07-19 04:39:54
8
Gianna Dior ♥️ :
Hana malengo kumpenda mtu sio tatizo tatizo ni malengo
2026-07-19 04:08:00
6
The lady Mwangonela,❤️💫 :
Lemisitiiiiiiiiiiiiii 😂I nooooo nothing
2026-07-19 03:34:03
5
MSUA :
m niliuza wangu, akanijibu Nina malengo ya kudate na ww tu, nilishukuru Mungu kwa uwazi akonayo😂
2026-07-19 05:42:30
5
sanjia 🤍 :
Hahahaha
2026-07-19 15:29:48
1
To see more videos from user @zaystrawberry, please go to the Tikwm
homepage.