@lishe_yamamanamtoto: ➡️Mtoto Mwenye Lishe Bora Ana Ishara Hizi. ➡️Swipe uzifahamu na uone kama mtoto wako anazionyesha. 📌 Save kwa matumizi ya baadaye. 🔁Mtumie Mama Mwenye Hofu Juu Ya lishe Ya Mwanae Ili Nae Apate Amani #Mamaboy #Watoto #afyayamtoto #malezi #lisheyamtoto