@iran_attack: Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC,limetoa tangazo la kuwatka raia na watumishi wa viwanja vya ndege vya Dubai na Abu Dhabi waondoke kwani ni malengo yanayofata ikiwa Marekani ataishambulia Iran kutokea saaa. Vile IRGC limesema bandari ya Fujairah na Jebel Ali zijiandae pia. leo Julai 18,2026.

Iran_attack
Iran_attack
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 18 July 2026 20:58:28 GMT
145683
3393
331
414

Music

Download

Comments

kunajoto001
kunajoto.001 :
message delivered
2026-07-19 09:43:41
1
lennyproduction
Lenny pro :
ila Wana roho sana yani wanatoa taarifa
2026-07-19 06:01:59
63
rahmanassor19
It's me chammy❤ :
𝗸𝘄𝗮𝗻𝗶 𝘂𝗰𝗵𝗮𝗴𝘂𝘇𝗶 𝗹𝗶𝗻𝗶 𝘂𝗸𝗼 𝗺𝗮𝗿𝗲𝗸𝗮𝗻𝗶 𝘄𝗮𝗹𝗶𝘁𝗼𝗲 𝗶𝗹𝗼 𝘁𝗿𝘂𝗺𝗽 𝘁𝘂𝗺𝗲𝘀𝗵𝗮𝗹𝗶𝗰𝗵𝗼𝗸𝗮 𝘀𝗮𝘀𝗮 𝗹𝗼𝗵,
2026-07-19 04:38:49
71
yunus_abeid
Yunus Abeid :
Uislam hauruhusu kuua nafsi ila kwa haki na ndio maana Iran inatoa taarifa ili raia wasidhurike lakini Marekani yeye hatoi taarifa yeye anaua tu bila kujali ni askari au raia wa kawaida yeye hataki kujua.
2026-07-19 10:44:16
34
kichuna085
bibiee085 🤭 :
iran 🇮🇷 kama bunge la Tanzania taarifa muheshimiwa Taarifa Taarifa 😂
2026-07-19 08:00:39
27
raphael.mahenge
RAPHAEL Mahenge :
ogopa mtu anaekupa taarifa mapema haijalishi utajipanga vipii
2026-07-19 06:59:39
23
msnaa184
Naa :
ila kwani Iran hampigi marekan anapika nchi zingine sasa
2026-07-19 07:03:57
7
jovaness4
jovaness4 :
Mimi siondoki hata iweje UAE 🇦🇪 my second home,with God we trust 🙏 🙌
2026-07-19 10:15:45
6
herbsfrankies
Mwabilla jr :
Nchi za Gulf zinajitafutia matatizo kutokana na kuwakumbatia wamarekani na wasipokuwa makini wataangamia kweli.
2026-07-19 07:08:52
18
mohammed.abeid5
Mohammed Abeid :
duuh Iran subirini jamani huko kuna familia zetu waliokwenda kutafuta maisha hii kauli cjui itakuaje maana duuh ni wengi Sana huko
2026-07-19 05:51:03
11
emily.nyigu
Emily Nyigu :
unajua watanzania walio wengi hawana mawazo ya mbali hivi kwamfano marekani akija kwako sahz akwambie anataka aweke mnala wa simu nyumbani kwako wewe utakataa maana naona mnasema nani aliwambia wakubali kambi iwekwe kwao wewe ungeweza kukataa ?
2026-07-19 18:32:03
2
sultanhamad655
Sultan Hamad :
yani marekani amefanikiwa kuwachonganisha waarabu wenyewe kwa wenyewe Trump ni mtu mshezi sana kwakweli 😭
2026-07-19 22:11:16
1
simbakinena
simbakinenaabocho :
mbona hapigi marekani mwenyewe
2026-07-19 09:22:06
1
dervish.baba
Dervish Baba :
Marekani ikitaka kupiga haitoi taarifa inapiga tu ila iran munafeli sana
2026-07-19 07:28:46
7
torrretto_54_
seif suleiman :
kwanini wasishambulie marekanu direct?
2026-07-19 14:49:05
1
abtwalbimsakati
MSAKATI PRINTING SOLUTION :
bora ugali na furu kuliko vita
2026-07-19 10:40:18
0
christopher.hezro
Christopher Hezron :
kwani marekani anampiga iran kutokea wapi?
2026-07-19 04:15:26
4
zubeida_jabir
waheed wageeq :
jaman watoto wetu
2026-07-19 08:40:15
4
ammy.tz59
Ammy tz :
marekani anaipiga Iran kutoka kweny bezi au kambi ambazo zipo kweny mataif hayo ndioman Muirani anapiga kambi izo ambazo zimezunguka mataifa hayo DUBAI , KATARI, SAUDI ARABIA NA ZENGINEZO
2026-07-19 07:22:02
4
mamu.leonard
Mama ney🇹🇿👉🇴🇲 :
jmn oman msiingie tu😭 na mkitaka kuingia mtupe taarifa mapema tulud makwetu😩😩😩
2026-07-19 16:23:41
0
user2919439909590
boveta :
hatari iy
2026-07-19 14:51:41
1
leedeeboss1
Lee dee Boss✌️ :
🔥
2026-07-19 13:09:36
1
murshididrisa
murb :
ili marekani amshambulie iran lazima apite kwa jirani so jirani kawa mnafiki kamsaliti iran majuto ni mjukuu na aliwambia mwanzo kuwa yeye hana shida na bahrain uae wala quwait wasije wakakubali kurubuniwa ba marekani wakae mbali sasa wameyatimba
2026-07-19 04:32:27
2
To see more videos from user @iran_attack, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About