yote haya yanakuja kwa ajili ya messi yuko fanal ila ingekuwa CR7 msinge sema yote hayo.ila yamal ni bora kuliko CR7
2026-07-19 08:35:43
12
Pain healer & Killer :
Kwahyo FIFA wameweka Smart assist kwenye real game🤣🤣🤣
wanangu wa Efootball tunaelewana ✌️
2026-07-19 13:26:38
22
msuya_001 :
Broo I think fifa ivunjwe
2026-07-18 22:29:08
0
BR story :
jamani huo ni uongo tu nimeangalia mechi zote lkn sijaona hivyo
2026-07-19 02:30:07
10
Abdulijj7 :
Atari San kaj😩😩
2026-07-18 21:27:49
0
spoiler_950BC :
kweli kabisa ni smart controlled Hadi inafika mahali badala mpira uliopigwa na Messi utoke nje kunamtu anaucontroll uende kwenye kichwa Cha lautaro mpaka anafunga goli la pili, hii haikubaliki.
2026-07-18 21:54:27
12
ᴜ𝘀𝓮r0000000000000 :
shabiki la ronaldo apa😂
2026-07-19 07:47:23
2
HILALI 🕸️ :
nimetoka kubishana na watu Leo kma ulinionaa
2026-07-19 15:41:01
4
izokye :
Kauli ya lamine ina uhalisia na sasa ndo tutaelewa alivyosema modern football is so boring so sad 😞
2026-07-18 21:50:26
13
dior_phonepoint :
Me nna uakika word cup ni ndogo kuliko euro
2026-07-19 11:16:14
6
RAMOO :
hii yote ni kwasababu ya Ronaldo
2026-07-19 12:08:37
2
i ⭐️ :
Unategmea Fifa atakujb nn😂😂
2026-07-19 10:29:09
4
bisco_supernatural :
Kuna siku watu watajuwa kwanini naichukia AI
2026-07-19 08:29:00
1
mr Electricity :
rimotamo music ndo brand yangu 😁
2026-07-19 04:42:16
3
DE_VISION :
Hiyo ni kweli eti
2026-07-19 08:11:55
2
Hosea :
mngefika tu fainal uchambuz kama huu tungeukosa😁
2026-07-19 07:08:49
0
Fabian :
wameamua kuamishia smart assist
2026-07-19 12:01:55
1
haaland :
Sawaaaa 🙌
2026-07-18 21:39:46
3
ZUBR_CAN :
aaaminii kiongozii lakini mimi nilitambuwa tangiya game ya kwanza ila niliyo washilikisha waliniona mpumbavu😳
2026-07-19 05:05:50
3
To see more videos from user @oka__martin, please go to the Tikwm
homepage.