@oldqueen: Kweli vya kale ni dhahabu, Hilo zoezi hapo limenikumbusha miaka ya zamani nikiwa mtoto kijijini kwetu Moshi Marangu. Mimi na ndugu zangu ilikuwa ikifika msimu wa kuvuna mahindi hili zoezi lazima tulipitie na tulikuwa tunaweka kwenye mifuko au kwenye nguo kwasababu yalikuwa yamoto. Wengine walikuws wanakuja nayo shuleni ilikuwa raha sana. i Like Old things or moments! Hata sasa Mungu ni mwema kwa nilipofikia❤️ kama unaweza nipe kisa kidogo cha hilo zoezi hapo juu✌️💕 #old #bambi #fyp #moshi #sharing
nimeenda nayo shule sanaa mpaka mwalim nikawa simsikii akifundisha
2026-07-19 12:39:46
11
Brenda Mushi :
Snack ya shule enzi izo😂
2026-07-19 18:58:28
3
agashgal💦💝 :
😁ng'arangwe
2026-07-19 08:52:20
10
Miss Rey⛱️ :
Bisi🥰🥰
2026-07-19 07:49:12
11
Jae💕🦋 :
Mberenge
2026-07-19 19:30:28
1
Taurus :
nikikumbuka mama yangu ulikuwa ukitengeneza bisi ya aina hii wanyakyusa tunaita mbupuna😂😂😂, ulikuwa unapigwa vibaya mno eti kutengeneza hizo bisi nyumbani unakaribisha njaa😂😂😂
2026-07-19 17:27:47
5
lilytemba🦋 :
Ukimaliza hapo mengine yaloweke 🥰
2026-07-19 14:21:32
7
Mali Chanda :
makalange kihehe 🥰🥰
2026-07-19 18:54:04
3
Boss Lady :
Kokoro
2026-07-19 07:59:41
11
Mama Brayoo❤️😍 :
nkaaang'o😂😂😂😂
2026-07-19 08:24:01
13
jorajetho :
ruketooo🥰
2026-07-19 18:17:10
2
Hidaya Mmbaga :
makokoro😊
2026-07-19 13:43:32
2
OFFICIAL D✅️ :
yametukuza wakuu
2026-07-19 16:50:01
2
culz biggie🐒 :
dah long time😂😂
2026-07-19 14:05:13
1
Gjin👻 :
Ngaraarum 😅🤌
2026-07-19 08:28:01
0
Jenipher Kwai :
Tanga tunaita uketo😅
2026-07-19 18:41:01
1
Ms Angie❤️ :
Wairaq hizi tujaitaje 😅
2026-07-19 14:26:59
1
To see more videos from user @oldqueen, please go to the Tikwm
homepage.