@feelfreechurchdar: #creatorsearchinsights #trending #feelfreechurch #masanjamkandamizaji @Masanja Mkandamizaji ASEMA JAMBO JUU YA MABINTI NA VIJANA WA SASA

FEEL FREE CHURCH DAR
FEEL FREE CHURCH DAR
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 18 July 2026 22:52:38 GMT
38961
2086
120
114

Music

Download

Comments

naomy.ngoda
naomy ngoda :
Amén umesema kweli baba Good blessed 🙏
2026-07-19 09:43:08
2
user3201544045157
Aggressor. :
Yaani mimi na wewe tunatofautiana kwenye mambo ya uchawa kwa watawala tu, ila huku kwingine huwa nakuelewa sana.
2026-07-19 06:27:07
12
njwax66
njwax :
masanja chukua soda
2026-07-19 06:13:18
5
ibrahimumesco
ibrahimumesco :
Nakukubali sana Mtumishi Imanueli Mgaya
2026-07-19 15:16:19
2
mc_gila_11
Mc Gila :
Nakukubali sana mtumishi wamungu
2026-07-19 16:51:36
1
stella.mtui5
Stella Mtui :
Mungu akubariki sana umesema ukweli 🙏
2026-07-19 13:39:29
2
james.richard8037
James Richard :
kaka nakukubali ncheki tumtukuze mungu
2026-07-19 13:28:43
2
giantbariki
Bariki 📖 :
😁😁🤣🤣🤣LEO UMEPASUA BABA BARIKIWA
2026-07-19 16:25:32
1
user76075497230610
Florence :
Asante sana muchunga kondoo za Mungu nakupenda bure ubarikiwe kwa neno la uzima
2026-07-19 06:28:47
4
ibrmo2
I mo :
iyo ndio injili nakukubari sana mtumishiiii MUNGU akutunze 🫡🫡
2026-07-19 11:26:13
3
isackema26
isack Emanuel gidioni :
sema kweli mtu wa mungu.
2026-07-19 05:43:30
3
gospelmotivationspeaker0
Demwashi 🙏😁😇 :
umenena vyema kaka!!Wewe ni mchungaji unakemea dhambi!Mungu akupake mafuta zaidi
2026-07-19 16:21:42
1
emmanuelmwakamele1
Mwakamisa :
Napenda sana Mchungaji anayekemea dhambi. Atleast umenishawishi kuja kanisani. Nitakuja😁
2026-07-19 09:43:40
3
user8340999160937
Neema Donald :
Nitakuja kanisani sasa napenda watumishi wanaosema ukweli kama huu
2026-07-19 15:21:32
1
aggykinda
love :
mchungaji leo umenifurahisha sana leo boda kanisema kisa nimekataaa kukaaa katikati
2026-07-19 15:01:00
1
nicemakundi
gylence@tz :
sema baba tupone😂
2026-07-19 14:48:52
2
pkundaakunda
pkundaakunda :
zile Boda za kuungia huwa wananicheka nikisema nakaa nyuma
2026-07-19 10:30:47
1
queen.ney.mwisrael
QUEEN NEY MWISRAELI :
ameeeeeen
2026-07-19 05:50:31
1
goldenboyalphan
Goldenboyalphan :
aminaaaaa
2026-07-19 06:04:10
2
hastingsevarist
Hastings Tz :
hii ni fact kabisssa🙏🙏🙏
2026-07-19 11:54:05
2
highnesschaula6
Highness Collection :
kweli kabisa mimi nilipanda nilijisikia vibaya hadi nilitamani kuruka kwenye boda mpaka sasa sipendi boda.🤣ni huzuni sana.
2026-07-19 14:29:32
2
greatmmmh0
GREAT :
Kabisa
2026-07-19 05:47:14
1
hermanawithuche
Hermana with Uche✨ :
Uwaga me nakaa nyuma ya mwanaume😁
2026-07-19 10:56:47
1
mfalme.mwambondo
Mfalme Mwambondo :
kwakweli
2026-07-19 04:08:46
1
To see more videos from user @feelfreechurchdar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About