@bany.sahab: #zanzibartiktok #zanzibar🇹🇿 #zamzamelectronics #zaxo_duhok_hewler_slemani_hawler

bany sahab
bany sahab
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 18 July 2026 22:58:16 GMT
439936
33916
745
191

Music

Download

Comments

user67505613824448
Rahma🌹 :
yaarabi aondolee maradhi wagonjwa wote inshaalah
2026-08-11 12:42:29
236
mbape_for_life
kuja mzuri :
yarrabi mpe mja wako na kipenzi chetu amani na umpe na shifaa ya haraka yarrabi tunakuomba
2026-07-18 23:08:44
175
user9461588852418
user9461588852418 :
ila nyie mnatuchanganya san unajua mm nilijua niuyu kaka ndo alokuf
2026-08-12 04:48:22
74
ummiisalam2
Lamaa💕 :
Mungu atakufanyia wps penye uzito na wps upo subra tu
2026-07-19 05:59:28
39
user6130368720812
habibby :
shifaa ya harka inshallah
2026-07-19 06:25:59
26
unique.dee92
🦋unique dee💞 :
jmn mboma hatuelewe mm nilijua huyo ndo kafariki kama siyo yy bx namuomba Allah azidi kumfanyia wepes insha Allah
2026-08-12 16:37:37
25
halimamwamsanga
Halima Mwamsanga :
Mbona mnatuchanganya kuna Post ingine eti amefariki
2026-08-12 04:54:30
6
aminaally933
Amina Ally :
Pole kaka utakuwa saw tuy
2026-08-16 05:03:49
4
fatumahalidi981
FATUMA :
utakuwa sw mungu yupo
2026-08-24 20:32:46
2
zulphatswalekhe
zulphatswalekhe :
Ila nilpta kama page 2 hiv nahuyu kaka yupo japo hawaja mtage moja kWa moja ht nikaingiw nauwoga nika juw ni yeye ndo kafariki jamani kumbe sio yeye
2026-08-12 05:31:20
1
litness06
litness :
nikajua ni uyu kumbe sio daa ila mungu amponye na mwenzake ampunzishe kwa amani
2026-08-12 09:37:48
11
swaumngoi
swaum :
jaman pole sn allah yu pamoja nawe
2026-08-25 04:33:11
1
aishahassan4454
Ashine_tz :
Allah akuponye Inshallah
2026-08-25 05:52:11
1
cizaceline
ciza celenie :
Allah azidi kukufanyia wepesi
2026-07-19 05:46:55
5
hilda.ayubu
Hilda Ayubu :
utapona kaka tutaendelea kukuombea skuzote
2026-08-25 09:36:10
1
user8681457288298
Abdulkarim :
Shifaka ALLAH brother
2026-07-19 09:45:07
11
user2270419308152
mariam ally gomoli 0670360183 :
eee allah mjalie mja wako umpe nguvu amani afya njema Amin
2026-07-28 07:57:09
0
user5834248195411
7 :
pole sana kipenzi Allah yu pamoja nawe utapona inshallah
2026-07-19 00:34:26
10
shenir8591981719612
sheni jr 0715597702 :
Allah amfanyie wepes zaid
2026-08-12 18:26:37
4
nasraamour2
nanaa😘😘😘 :
Allah azidi kukufanyia wepes InshaAllah
2026-08-22 08:41:44
1
halimahamisi583
Halima Hamisi :
POLE KAKA ANG MUNGU YUPO PAMOJA NA WW UTAPONA INSHAALAH
2026-08-14 09:27:19
2
zaitunomar849
Zaitun Omar :
utapowa kwa uwezo wake mola
2026-07-19 18:42:41
3
g4555917
g :
Allah akujalie afya njema ww na familia yako
2026-07-22 11:08:51
1
aysha.omary85
Aysha Omary :
sio huy alikuf niyul mwngn
2026-08-13 08:29:43
1
user2137658430590
salma :
mungu akuponye haraka inshaallh
2026-08-12 15:29:02
2
To see more videos from user @bany.sahab, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About