@mwanawamalkia: Nafasi itumie ipasavyo.Itumie kuinua maisha ya watu bila mapendeleo yoyote wala ukandamizaji.Kenya ni yetu sote.Alie na nafasi na pia mwenye hajanafasika bado ana usemi kwenye taifa lake.#fypppppppppppppppppppppppp #npsc#sammyondimungare @Sammy Ondimu Ngare @the national police service
makosa huwa kwa college wakubwa kusema kila kitu mzuri ni ya afande 😂😂😂,but they need to change ,thanks for trying to change askaris 🫡
2026-07-24 20:40:21
8
TAJIRI WA MUNGU "GOD HEARS" :
🥰🥰🥰🥰🥰😋🫡🙏from today I commission you as the Inspector General 😁😁😁😁 thanks for the wise sayings brother 😁☺️😁
2026-08-18 06:23:06
7
user5699847105084 :
you have spoken bro
2026-07-24 07:43:25
6
🦁unknown🦁 :
naked truth bro 🫡🫡
2026-07-19 03:59:55
14
Emvi :
Ndugu yangu Ako jeshi na aliscore B+. Kwa hivyo sio kweli kuwa askari ni watu wa D.
2026-08-10 09:39:05
7
waridi mercilline official :
mpenzi msikilizaji,,, Kiswahili wewe
2026-07-20 08:51:18
6
Julius M Mwaura 9940 Kenya :
well said and nice advice to those who think to be police ama mwana Jeshi ni kuwa navyote
2026-07-29 01:49:16
3
Mutwiri wa kanini :
Wacha nikufuate leo, umenena kaka.
2026-07-25 05:36:24
10
official-Thee Muruthi :
daaaammmmnnn kiswahiliii🤭🤭
2026-07-19 05:23:55
6
The Boss Lady Herself :
good one
2026-07-19 13:53:03
2
J Gabriel kadi :
Ukiona askari anaongea point kama huyu basi jua kwamba ushauri wake mkubwa unatoka kwa wazazi wake na mara kwa mara wazazi wake Humshaugh kwamba usitumie cheo chako kudhulum raia .
2026-07-27 16:16:57
15
Simon Kiberenge :
tunaitaji watu kama wewe ndungu ubarikiwe mngu akubariki
2026-08-03 19:34:27
2
doris mwari :
barikiwa mwana wa malkia wasema ukweli😳😳😳😳
2026-08-02 06:02:19
2
CHAKI CHAKI :
2026-07-19 19:19:38
2
CHAKI CHAKI :
2026-07-19 19:18:02
2
CHAKI CHAKI :
2026-07-19 19:17:55
2
dvupra :
waambie kabisaa
2026-07-19 23:58:13
2
call me blessed♥️ :
Umenena kaka.. Wacha nikufollow
2026-08-16 05:23:58
2
user3201322154217 :
kijana mungu akumbariki
2026-08-04 20:07:59
1
Baltazar Nyaki :
hongera kwa elimu
2026-08-27 17:01:58
1
Betty Mbone :
wee mungu akubariki sana
2026-08-17 00:00:56
0
user1615993552588 :
kijana mwerefu kama mamake🥰🥰🥰🥰
2026-08-13 18:20:03
1
To see more videos from user @mwanawamalkia, please go to the Tikwm
homepage.