@giantbeatricekayo: Jina La Yesu Likanibeba Na Kuniingiza Mahali Ambapo wengine waliona sitaweza kuingia 🫡 Happy Sunday 🤍🙏🏼 #GIANTOFFAITHGENERATION #GIANT #KAYO #WORSHIPER #MOTHEROFNATIONS
Mungu amenifanikisha yote bila gharama kubwa,sikujulikana na yeyote ila yy alinitambulisha,Asifiwe mkuu wa yote
2026-07-19 12:37:42
81
asmy :
kuna watu wanaimba kwa sababu ya wengine wapate kitu ndani yao, Mungu wa mbinguni AKUBARIKI kipenzi
2026-07-21 06:29:49
12
Angi£🍓🦋 :
ooh God restore our life once again 🙏🙏🙏🥰
2026-07-23 19:20:18
1
Anointed_Prosper👑🎤🎧 :
Anointed voice🙌❤️🔥❤️🔥
2026-07-19 14:26:20
8
Polu Vocal gym 🌍🇹🇿 :
more grace more grace
2026-07-19 14:38:46
1
Editha Jordan :
Ubarikiwe mpaka ushangaee mom❤️nkiskilza 2 jumbe zako kila ninachokiona ni mlima kwangu kinayeyukaa🤲🙏 Yaan ubarikiwe utokapo na uingia dear Nakupenda bn😊
2026-07-19 19:10:21
9
SJ :
Hallelujah 🙏🏾
2026-07-20 18:10:50
2
pafectlife3 :
Mungu amekuwa mwema sana kwangu. 🥹🙏 Licha ya changamoto, machozi na vikwazo nilivyopitia, bado nimeona mkono Wake ukiniongoza kila hatua. Alichonisitiri hakionekani kwa macho ya watu, lakini ninakijua moyoni mwangu. Nitaendelea kumshukuru kwa kila pumzi, kila baraka na kila siku mpya ninayopewa. Hakika, Mungu ni mwaminifu siku zote. ❤️🙌
2026-07-19 17:18:52
8
Jep Tonnie :
Bado naamini ipo cku na mm Neema ya Bwana itanibeba 🙏🙏
2026-07-20 07:12:58
16
rebeca Onesphoro :
oooooh! Hallelujah😭😭😭 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
2026-07-19 16:10:10
0
user3093384518933 J.m.Gikunda :
hallelujah
2026-07-19 15:03:14
0
gentrix63 :
It only takes grace.
2026-07-19 13:08:37
0
loveness :
wimbo unaitwaje
2026-07-19 14:24:29
5
Martha :
sijui nalia nn
2026-07-20 02:32:11
0
Missnouline20 :
sauti ya Mamlakaa,
sauti ya Ushindi🙌
nampenda huyu Yesu❤️I love you MOM KAYO❤️🫂
2026-07-22 05:34:50
1
Linah kikungwe :
hadi nmeku follow barikiwa sana🥰
2026-07-19 16:31:13
0
loveness :
unajua
2026-07-19 14:24:29
0
Kenyangirl03 Reborn :
God bless you WOG😭😂😂
2026-07-19 15:49:49
0
WEMA :
Amen 🙌
2026-07-19 14:17:14
0
Modesta Modesta emmanuel :
huyu muimbaji hakika alikuwa akimba pamoja na mungu...hata iwaje usimuche mungu angalia mungu anavyokupenda😭..
2026-07-22 19:37:04
3
sellen nkula :
Mungu huyuhuyu unayemtumikia,namtamaniii sanaaa🥹🥹🫂
2026-07-20 06:40:19
0
To see more videos from user @giantbeatricekayo, please go to the Tikwm
homepage.