@vin___lubs30: Part 100 | Mauwaji yaliyotokea mwananyamala😭💔 #fyp #tanzaniantiktok🇹🇿 #foryou #trending #storytime

🌟VIN✨LUBS💫
🌟VIN✨LUBS💫
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 19 July 2026 05:28:56 GMT
220841
16402
1267
665

Music

Download

Comments

jijandorial66
jijandorial66 :
Ousman kafanya maamuzi ya ousmanbey😂
2026-07-19 15:00:53
383
fasciola31
Fasciola 🫣🫦 :
maisha ya bongo kuna wazazi wanaishi na watoto wao kam vile wanawadai jmn.😳
2026-07-19 13:42:59
180
user6923227292082
prince damtel :
duhjhhhj
2026-07-20 13:25:50
0
magatelifx
magambo :
don't trust anyone
2026-07-19 14:33:59
1
winnie13637
Winnie🍒 :
Nimepitia coment zote nimegundua tuna wauwaji wengi jeshi la police litusaidie
2026-07-19 20:47:48
74
sony_miwani
Sony miwani :
ila Ochu 🙌
2026-07-20 04:59:38
1
rosemarycosmas
rosemary :
mzazi akosei jamn pesa utapat nyingine mzazi unampat wapi 🥵🥵
2026-07-19 13:37:03
158
user7426923419658
userzuuh :
sina Cha kusema Nina hasira sana
2026-07-19 13:20:15
142
ashraphertz
Ashrapher🇹🇿+🇴🇲 :
Kesi ishakuwa ngumu me nawamaliza wotee😂😂😂😂😂😂😂😂 team Oman km hii tunafanyaje
2026-07-19 14:19:07
76
dogo.shauzani45
dogo shauzani4️⃣👊🌍 :
asa mama angu au baba wakila ela zangu shida iko wapi sa😂😂😂😂
2026-07-19 15:08:20
79
itsmeshuu17
Shuu_products :
Hizo maiti zipelekwe polisi zimemkosea sana othman.
2026-07-19 18:52:36
110
rajan.vivaa
Rajan Vivaa :
hapo wazazi ndo Wauwaji kabisa dogo hana makosa kabisaa
2026-07-19 17:47:50
53
user549241580591
MJUKUU :
kiukweli me nawauwa Tena kwa mateso sana
2026-07-19 13:30:48
68
user738770210753
mrs🥰 muuh t :
kiukwer kbc atuongi kumteteaa yoyote ila wazazi wa othman wamekoseaa tena wamekoseaaa sana ila daah
2026-07-20 07:03:21
7
_ily.sophh04
Sophy Fashion Hub👗🛍️ :
ila wamemkosea Kwanini wale hela zake🥹 kutafutiana lawama tu💔
2026-07-19 07:02:11
49
karaboi_og
𝗞𝗔𝗥𝗔𝗕𝗢𝗜🦁 :
So poah 😳😳
2026-07-19 06:52:36
1
kambonarama86
@Kambonarama :
ndio maana kaitwa osman bey
2026-07-19 15:51:37
6
dijahcollection2
dijah collection🛍️ :
Allah atuepushie roho za kishetani 🥺🥺🥺🥺
2026-07-19 13:32:16
14
feisher
🦋Feisher🦋 :
Tutakuita uje utolee ushahidi vin inaonekana story unaijua sn 😂😂
2026-07-19 06:42:28
50
arafattaboru
Arafat :
mwananyamala kuna mzazi
2026-07-19 07:30:43
19
seunghye72
neylain❣️❣️ :
kila mtua anakuja na stor zake bhana mlikuwepo??
2026-07-19 07:57:22
16
raunation_tz
MASUMBWE FINEST :
Daaaah juzi nlikua kwenye Harusi nkakanyaga Waya kwa Bahati mbaya Mziki uka zima X wangu Aka lopoka Huyo ndio Alivyo Akiona Chakula atulii sehemu moja😂
2026-07-19 15:01:36
18
mju.official6
Mju Official :
huyu jmaaa sio kwel hilo story hakuna kitu kama hicho mzeee acha kupotosha umma
2026-07-19 12:45:49
26
To see more videos from user @vin___lubs30, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About