ndo maana tunakupenda unatufundisha kwa utulivu 🥰🥰
2026-07-20 08:55:12
9
Husna Mazrui :
in Sha Allah tutajitahidi I kuwalea wababa ❤️
2026-07-20 06:36:53
13
Tumba Salehe :
MIMI NAJIVUNIA SHEKH WALID
2026-07-19 15:15:20
11
user306959797416 :
kweli shehe mashaawahu
2026-07-19 07:24:36
10
user1630455546081 sada chuma :
shekhe nimekuelewa zaidi ya sana
2026-07-20 05:34:32
5
uncover :
"Hakika Allah anapompenda mja, humwita Jibril na kusema: 'Hakika ninampenda fulani, basi mpende.' Jibril humpenda, kisha huwatangazia wakaazi wa mbinguni: 'Hakika Allah anampenda fulani, basi mpendeni.' Nao humpenda, kisha huwekwa kukubalika (mapenzi) kwake miongoni mwa watu duniani."
(Imepokewa na Bukhari na Muslim)
2026-07-20 10:27:58
11
Zubeida Mohammed :
Amesema harudiiiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💔💔💔💔💔.........Allah akupe subra shekhe wet insha'Allah n ikiw kuna kheir yko kubwa bc Allah akujaalie KW haraka🥹😭❤️❤️🤲🤲🤲
2026-07-20 18:40:45
3
rehemamnua :
mashallah sheh wetu Allah akupe faraja
2026-07-19 13:50:03
10
mwarabu one :
maashaallah upo vzr sheikh wangu
2026-07-20 06:05:20
7
user3615680884231 :
Sheikh Walid shukrani, UKweli mtupu kabisa.
2026-07-20 06:14:13
7
Yaumu Juma :
mashanllah kule upande wa pil tunaambiwaj vile😂😂😂😂
2026-07-20 14:17:17
2
Hassan Fwamba :
Mrudisheni sheikh 𝑾𝒆𝒕𝒖. Sirudii
2026-07-20 08:25:56
5
Fatima Iddy :
naomba urudie hapo mi sijaelewa 😂😂😂
2026-07-20 12:29:37
0
Mzamilu Athumani :
manshaalah
2026-07-20 05:39:03
1
Thulhiy :
MashaAllah shekhe wetu kipenzi
2026-07-20 06:02:03
4
killaga k :
Rafiki wa wengi. Kaka yangu sana Sheikh Walid
2026-07-20 18:12:16
2
Sally :
mashaallah
2026-07-20 07:08:30
1
Nasbina Sameer :
mashaallah
2026-07-19 05:55:05
1
🌴 Mahfu'udh Abdillahi ⚓⛴️ 🌴 :
ALLAH Akujaalie Umri na Afya Sheikh wetu
2026-07-20 19:09:02
1
To see more videos from user @sheikhwalid135, please go to the Tikwm
homepage.