nabii isa Kwa sababu watu walio taka kumuua hawakufanikiws na ndipo mwenyezi mungu akampandisha mbinguni lakin. pia atarejea Dunia kabla ya siku ya kiyama nimejaribu tu
2026-07-30 16:45:26
10
Mwanaharusi Hamisi :
Nabii ayekuwa hai paka leo ni nabii ISSA
2026-08-02 11:46:58
6
Mr Denis :
nabii idrisa aley swalatu wa salam
2026-07-28 10:37:57
6
Darwesh :
Nabii Issa A.S huyu hajafa na kifo chake kitakuja kuwa hapa duniani pindi akitokea mashidajal nabii Issa atakuja kumuua Masih dajalaal nae ndipo atakapo kufa. nimependa tu kutoa ayo maelez lka jibu sahihi ni NABII ISSA (A.S)
2026-08-11 14:18:41
13
haji masawe :
nabii issa aleyh salam huyo ndo nabii ambae hajafa ila alichukuliwa na siku ya kiama atarudi kwahy nabii issa hajafa
2026-07-28 20:22:08
12
future boe :
nabii issa aly salaam
2026-07-22 07:34:29
6
user8158193242011 :
NABII ISSA (A.S)
2026-07-20 09:10:36
8
@haruna tzoo :
issa aleh Salam ni Moja tyyu shekhe
2026-07-20 11:32:39
7
shaymaa🧕 :
ASSALAM aleykum warahmatullah wabarakatuh
nabii aliyekuwa hai mpaka leo n NABII ISSA (A.S) [YESU]
2026-07-24 06:54:22
9
Aisha__Mnyoti.Tz♡🔐• :
nabii issa hakufa
2026-07-31 05:47:40
6
General Cartter :
issa bin Mariam
2026-07-19 09:41:17
6
Bashiru140💎 :
nabii issa a.s wenzetu wanamwita yesu na atarudi duniani moja ya jambo litamrudisha atakuja ili afe kukamilisha msemo wa Allah kuwa kila nafsi itaonja umauti
2026-08-02 20:48:37
6
Raúl :
Kuna mti upo nchi ya Jodani ambao, Mtume wetu Mohamad alipumzika wakati akiwa dogo, upo uhai mpaka leo, ndo kisa Cha huo mti kuitwa mtume
2026-08-05 11:27:36
5
Pambile junior :
Nabii ISSA a.s
Allah anasema Nabii Issa a.s atarudi Duniani, na kati ya mamb ambayo yatafanya Arudi Duniani ni÷
1.Atarudi ili Afe, hii ni kukamilisha usemi wa Allah kuwa kila Nafsi itaonja umauti.
2.atarud kumuua Masii intajal
3.kuja kuvunja misalaba yote n.k
2026-07-21 21:44:12
104
muba mponda :
nabii ISSA aley salaam ndy yuk hai na atashuka dunian kwenye msikit wa makidisa atashushwa na maraika jibriru
2026-07-29 05:23:30
6
Ateenyi :
ISSA a s
2026-07-19 19:39:27
5
user4748193379020 fatma jpm :
nabii AmBAR yupo hai mpaka Sasa ni nabi lssa
2026-07-27 17:12:57
7
SAMMY .O. LOVE^^ :
Nabii Isa (Yesu, A.S.) – Waislamu wanaamini kwamba hakuuawa wala hakusulubiwa, bali Allah alimnyanyua mbinguni akiwa hai. Anaaminika atarudi duniani kabla ya Siku ya Kiyama kutekeleza majukumu maalumu, kisha ataishi kwa muda na baadaye atafariki kama binadamu wengine.
Nabii Muhammad (S.A.W.) – Ndiye nabii wa mwisho (Khatam an-Nabiyyin) na alifariki dunia huko Madina.
2026-07-25 20:21:22
8
To see more videos from user @songomakwela, please go to the Tikwm
homepage.