@hubofwisdom.inc: "Wazuri wanatumika tu." Anasema Dr. Mwaka "Mwanamke ambaye ulipata bahati ya kuwa na sura nzuri, shape nzuri, mama elewa kwamba hivyo vinahusika kwenye kumvuta tu. Fanya jitihada za kufanya matendo mazuri, hayo ndio yanamtunza mwanaume." 🔔 Angalia H.W Tv Kwa njia ya YouTube kwa mafunzo zaidi kuhusu maisha, mahusiano, maendeleo binafsi, na fedha! 📲 Tunathamini maoni yako. Shiriki mjadala huu katika kurasa zetu za mitandao ya kijamii: @hubofwisdom.inc au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media. Tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 kujiunga na group letu la whatsApp .............................................................................................. Session Credits: East Africa Radio #DrMwaka #Wisdom #thewisetz #uzee #Maendeleo #Motivation #SuccessTips #AfyaYako #elimu #swahili #tanzania #kenya #uganda #congo #zanzibar

hubofwisdom.inc
hubofwisdom.inc
Open In TikTok:
Region: EN
Sunday 19 July 2026 06:46:26 GMT
57846
2876
72
553

Music

Download

Comments

nathanmakori792
Nathan Makori :
that's a fact
2026-07-19 18:33:39
1
cnip4259294518147
CHRIS :
Absolutely correct
2026-07-19 22:30:25
1
ibrahimmbiya
Mjukuu wa Mbiya :
2026-07-20 06:15:36
2
user7130478280675
ABDALLAH KIWINGA :
MUESHIMIWA TAARIFA🤣🤣🤣🤣👍👍👍
2026-07-20 07:07:47
2
joelalbert11
Joel :
Good point
2026-07-19 14:00:49
1
flora66025
flora66025 :
acheni uongo ndoa ni tabia..tatizo lengo lenu ni kuwafanya wanawake wazuri wajiskie vibaya..na wale wabaya wajiskie vizuri...kwa hiyo mnataka kutuambia wazuri wote hawajaolewa na wabaya ndio waneolewa..huu ni wivu ambao hata mitaani wanawake wazuri wanasemwa vibaya kwa kuonewa..acheni hivo
2026-07-20 06:05:25
1
sweetpolina26
user41362726914 :
Kuna siku naondoka na beg langu kwa mwanaume ila msinifikirie vibaya lakini
2026-07-19 06:50:42
11
yusuphkive296
yusuphkive296 :
fact sanaaaa kaka
2026-07-19 08:18:58
11
fikra.huru7
Old man👳‍♂️🎅 :
ongea babaa😂😂😂😂
2026-07-19 07:56:59
10
abdallah.kambangw
Abdallah Kambangwa :
Sahihi
2026-07-20 05:57:12
1
ibrahimdiwan7
Ibrahim Diwan :
KAMA UTANI VILE LKN NDIO UKWEL....
2026-07-20 06:03:25
1
alexmtweve125
$Professor-Tz :
Mwenyekiti please usitoe siri zote watazoea hawa
2026-07-20 07:54:18
2
dadydon7
Don dady :
wazuri wanatumika kweli sio kasema dr mwaka ni kweli
2026-07-19 18:12:37
6
kelvinjuma966
Kelvin Juma :
🤣🤣🤣
2026-07-20 03:17:15
1
desmartmsafi
DE SMART MSAFI 🪐🌍🇹🇿 :
kweli kabisa
2026-07-20 04:11:52
2
user533942857
Brian :
Mambo
2026-07-20 04:23:39
1
beka88885
Beka :
kweli kk
2026-07-20 04:22:01
1
feisalkingazi61
Feisal 972 :
gusa achia
2026-07-19 08:18:00
1
araphat.yusuf
Araphat Yusuf :
facts
2026-07-19 21:26:35
1
nvvb500
Jesus Christ is my king :
yes
2026-07-19 19:23:43
1
dallas39935
Dallas8/24 :
Ukweli kbs
2026-07-19 20:46:08
1
mariam.kamagishom
Mariam KamagiShoma's Family :
2026-07-19 17:12:57
1
abemaznz85
ZG :
😁😁😁😁 safi sana
2026-07-19 18:55:22
1
manfredy186
Manfredy :
Nice
2026-07-19 07:28:27
2
To see more videos from user @hubofwisdom.inc, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About