tutakuja kumeza nasumu tufe dawanyingi sana munatuchanganya
2026-07-20 12:33:06
10
pendomlewa5 :
Acid jamani mbaya nyie
2026-07-19 17:57:52
15
Japhet black king :
vitu vingine tuwe tunamuomba Mungu atutibu tu
2026-07-21 10:08:54
2
UNSTOPPABLE HUSTLER 😎🇹🇿🇦🇪 :
mm nauliza nyongo ya samaki haifai??
2026-07-21 10:18:14
1
userkaris :
true
2026-07-21 11:24:09
1
MM G :
Unameza
2026-07-21 13:00:33
1
shakilakyeyus :
nikweli maana nisha meza tatu hadi sasa ni niko pow
2026-07-20 11:38:45
4
Mary mushi :
jaman Mimi inanitesa sana na hicho Cha kukwama kooni ndo usiseme
2026-07-20 04:29:58
3
Mis. D :
Mungu wangu mimi ni muhanga naomba nijibiwe,ni kuku wa kienyeji au hata wa kisasa? alafu natumia moja tuu au nitaludia
2026-07-20 07:02:58
2
Waxing_dar _ es salaam :
Mimi Nikivuta pumz muda mrefuu taratibu napata maumivu kifuan had mgongo nyuma ya kufua je nayo ni Acid?
2026-07-21 08:33:19
1
Lady Doris.M :
ni kuku zote ama nikienyenji tu
2026-07-21 12:34:13
1
warda :
ni kwel nimepona acid nakula kila kitu nilimeza mara moja ni ngumu ila nikujaribu sasa hv Alhamdulillah nime kunywa dawa nying sana ila hiii ata mume wangu ime mponya vidonda vya tumbo
2026-07-19 22:24:46
3
Anaya mom❤️ :
haaaa nikifa naigopa
2026-07-20 06:53:05
2
pendomlewa5 :
Mimi kuna kitu kinateleza kooni halafu naja
2026-07-19 17:58:22
1
user2772697632586 :
kweli ni dawa mzuli nimeshatumia na nilipona
2026-07-20 18:11:34
0
Never give give up :
🤔waheshimiwa Mimi nilipitia Hilo tatizo sio poa ila kuna vitu vingi vyakuzingatia Kila siku ili uone Hali inakuwa Sawa, list ya maelezo ni ndefu ila Mimi saivi nimepona kabisa nakula Hadi maharage ,pilau ,
2026-07-20 11:07:04
1
Precious mom❤️ :
Naushuhuda kaka angu kapona
2026-07-20 10:05:49
1
Jenny :
hiii ni ukweli Mimi najua na nilimesa ikaisha
2026-07-20 05:23:25
1
Aiysha :
Vitiligo ndio nini
2026-07-20 06:18:13
0
Doris Kiuria :
utameza usiku au mchana ?
2026-07-21 10:49:09
1
To see more videos from user @the_clinic1, please go to the Tikwm
homepage.