@kaisikiactress73: Wakwe wa Zamani walikuwa awapend watoto wa kike kuachika tofauti na sasa🤣🤣🤣🤣🙌🙌 #kenya #kenyantiktok🇰🇪 #kenyantiktok #trendingvideo #usa🇺🇸

#KAISIKI
#KAISIKI
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 19 July 2026 06:53:05 GMT
189259
7845
287
515

Music

Download

Comments

10shan123
Uniquegal :
Hizo ndoa za miaka ya nyuma utumwa mama zetu poleni kwa mateso mlioyapitia🥺🥺🥺
2026-07-19 08:45:44
171
shuku0897
Shuu@@@ :
bora sijazaliwa zamani na hii kiburiii sjui ingekuwaje😂😂😂😂
2026-07-19 10:20:26
68
zakia.hassan51
Zakia Hassan :
we mma vp
2026-07-19 18:05:22
0
rosekitchensirari
rosekitchen SIRARI :
Sasahivi hata haturudi nyumbn tunaenda kupanga getho
2026-07-20 10:07:50
5
hilda.amana
Hilda Amana :
Halafu kuna baba yangu mimi baba mumewangu kanifukuza nahapa nilipo mjamzito mwanangu tuliya usije kufa kwa presha yeye ataowa mke mwengine mimi ukifa ww sitokuwa na mtoto tena 😂😂😂😂 mwanaume anaye kupenda hawezi kukunyanyasa na kukufukuza ukiwa na hali hiyo asant baba😂😂😂😂
2026-07-19 16:37:02
20
my.tash3
BHUJU🦋💕💸 :
10.10
2026-07-19 16:39:14
0
ailes.rwakyendela
Iles🌺 :
wa kwanza mm Da kai next time nitag🥰🥰🥰🥰
2026-07-19 07:11:27
9
user8026112582699
Aqyf :
yaan ndoa za zamani ilikuwa utumwa mtupu poleni sana mama zetu
2026-07-19 09:19:12
51
marthahomedecor2
MARTHA STORE DODOMA :
Ila nyie watu jamn 😂😂😂🥰
2026-07-19 07:20:38
19
michelkashindi6
Nouveau Leader :
Ndoa Uvumilivu kweli
2026-07-19 08:50:01
25
ranviour04
Ranviour04 :
Ndoa za sasa hivi zipo kusawazisha makosa yalifanyika zamani😂😂
2026-07-19 11:27:22
8
rahmakiroka
rahmakiroka :
😁😁😁😁 ninge comment ila mume wangu ataona
2026-07-19 15:01:37
1
madam_rida
FaridaJ Cosmetics🥰 :
Bora nilizaliwa mwaka afumbili😂
2026-07-19 18:46:56
7
luluwilliam
Lulu🍀♌️🦁 :
bora sikuzaliwa zamani
2026-07-19 10:11:31
3
useryasher1
aysherhussein :
mapigo nd mafundisho😆😆
2026-07-19 08:20:49
9
cute.maya11
madam maya :
mama zetu walitesek jmn kalne hii heee 😁😁😁😁
2026-07-19 10:58:54
7
zainethcharles842
Zaineth Charles :
ilaaa kaisiki😂🤣
2026-07-19 10:31:16
4
ahmed_dady007
Ahmed daddy :
NDY MAANA NDOA ZA ZAMAN ZILIDUMU LKN NDOA ZA MIAKA HII MTIHAN
2026-07-19 11:21:34
5
user86198511821
VIRGO QUEEN :
Na sasa hivi watu hatutaki kuolewa
2026-07-19 13:53:38
5
rushy__og
RUUH🧕💜 :
nahis mm ningekua izo enzi ao wazaz wangeniua t nisingerud kumvumilia mateso
2026-07-20 04:29:59
2
hamoud.alhadhrmiy
Hamoud Alhadharmy :
😂😂mpakaapo alipofika kalelewa na nani mtihani huu
2026-07-20 03:33:04
2
user1948280018023
MASHALLAH ♥️ :
mmetosha sana
2026-07-20 05:49:33
1
mercyayosh1
Mercy Ayosh Nash :
Hii inasaidia mtoto awe discipline kwa ndoa yake kwa sababu atajua makosa yakitokea nyumbani hakutakalika.
2026-07-20 06:26:04
1
malika.malaika25
Malika Malaika :
kijana ntakufunga😂😂😂
2026-07-19 09:29:48
5
janeth.jones2
Janeth Jones🦋🦋 :
Walipigwa sana mama zetu 💔😭😭😭😭
2026-07-19 09:49:42
3
To see more videos from user @kaisikiactress73, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About