@tanmediatz: Msanii Kanye West amepiga chini ofa ya Fifa ya $ 20 milioni (zaidi bilioni 51 za Tanzania). Kanye alitakiwa KUTUMBUIZA kwenye faina ya kombe la dunia kwa dakika 5 tu za kipindi cha mapumziko(Half time). Baada ya kupewa ofa hiyo Kanye aliuliza nani mwingine atatumbuiza,akapewa list ya wasanii akasema hawezi kuperform stage moja na Shakira,Madonna na Ishowspeed itashusha thamani ya jina lake alilolitengeneza kwa muda mrefu.#fypシ゚viral #fypシ゚viral #viral #daressalaam #daressalaam

Tan Media
Tan Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 19 July 2026 06:59:16 GMT
62107
2060
70
53

Music

Download

Comments

baraka.emmanuel8
Baraka Emmanuel :
me Nilikataa billion 70 kutubuinza Kwenye harusi ya Mtoto wawa Rick rose
2026-07-19 20:34:40
5
wp2737
Wp 🤑 :
Atakama ningekua mimi siwezi😂😂😂
2026-07-19 16:47:53
10
eve45209
Eveline :
Iyo billion 15 ni ndogo sana mbona ata Katoro wanaweza kumlipa..💃💃
2026-07-19 20:14:31
9
chidy.classic4
chidy classic :
mimi nimekataa bilion moja kutumbuiza kwenye harusi ya EX wangu nikawaambia ntatumbuiza bure ila hzo nyimbo sasa walinifukuza
2026-07-20 07:25:51
1
shabari433
Hamis Masud :
waniite mm tu ata elfu kumi powa tu😂😂😂😂😂
2026-07-19 14:39:41
11
cassim_first
Cassim_first 🦺👷‍♂️ :
safi kabisa yani akaimbe na visanii uchwala vile
2026-07-19 18:53:08
6
buu.kante
k@nte . 6 :
ela anazo ukiona ivyoo😂
2026-07-19 13:53:55
6
spero195
spero195 :
Ila harmonize 🤣🤣🤣
2026-07-19 13:16:31
9
mr.krmtz
Mr KRM :
yan ukilonda brand sana unakuta unaiua hapo Tyr ashaua brand huyooo big
2026-07-19 16:41:59
3
josephpima
Jaji joseph Badae. :
hajakataa $51B, amekataa milion $20, Hizo 51B nizakwenu huku Tz, kwake hiyo $20 anayo sipesa nying sana kwake.
2026-07-19 16:19:38
7
yusuphburney
Yusuph Burney :
dohhh watu tunalinda brand 😁🔥
2026-07-19 13:48:57
10
nicklove014
nicklove014 :
Billion 51 doller au za kibongo
2026-07-19 22:59:38
1
young.single.org
CAPTAIN ORG 🎧🎤🎧🎶 :
kwer kaka uondo msimamo wa kiume Kulinda brand
2026-07-19 22:39:19
4
edwardjohn724
Edward John :
me naona kwa ukubwa wake sio sawa kutumbuiza halftime. so yupo sahh
2026-07-19 17:01:59
2
staphordmpaye
stan@300 :
taarifa si sahihi
2026-07-19 10:41:48
3
user22063934525220
Kaijage Kyoma :
Huyo Ni Level Nyingine Kbs
2026-07-19 23:56:53
1
unclejj84
DOUBLE JJ :
mm mwenyew sikubal😳
2026-07-19 22:07:18
1
user4927147075229
user4927147075229 :
hizi billion znapatkan t kiurahis kumbe mpka wat wanazkataa
2026-07-19 14:39:40
8
nyapinie
nyapinie :
wangeacha niende mim hata wanipe robo ya hiyo
2026-07-19 19:42:14
1
mahengestanley
Stanley mahenge :
jeuli ya pesa hiyo
2026-07-19 17:38:51
1
2jmizo0
2jmizo :
that's man ego 😎
2026-07-19 15:41:11
1
madoce023
madoce :
mimi nilikataa trioni70 kutumbuiza kwenye harus ya mdogo wa mama mkwe
2026-07-20 10:21:32
0
anth199.8
'tony 'z' :
mimi nimekataa billion 80 kurudiana na x wangu🤥
2026-07-20 17:47:58
0
nassor.mohd61
Nassor Mohd :
sasa iyo si hela yamboga tu
2026-07-20 08:38:16
1
To see more videos from user @tanmediatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About