@mjadalatv: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ameibua mjadala baada ya kauli zake kuhusu kuendelea na kesi akiwa gerezani. Je, mahakama inaweza kuendesha au kumaliza shauri wakati mshtakiwa bado yuko mahabusu au gerezani? Katika video hil tunachambua kinachoendelea, hoja zinazotolewa na pande mbalimbali, na maana yake kwa mchakato wa sheria. Unalionaje suala hili? Toa maoni yako kwa heshima kwenye sehemu ya maoni. #MjadalaTV #Habari #Tanzania #Mahakama #Sheria
lazima hali itendeke kwa kila mtanzania nchi haina amani kwa sasa hii serekali haramu invoke madarakani
2026-07-20 14:33:36
0
Edward :
Lisu si TU kwamba mwenyekiti wa chadema bali ni mwenyekiti wa taifa letu nchi yetu linamhitaji mtu kama lisu
2026-07-20 08:18:38
1
Deborah :
Aliyemshtaki Lisu kuwa muhaini ndiye Mwenye serikali, Anataka Lisu atoke hapo kwa masharti kwa maslahi yake binafsi, Lakini sheria hii inayotumika kwa Lisu ingekuwa kwa jamaa zake hii kesi ingekuwa imeisha, Lisu ni binadamu anastahili haki kama binadamu mwingine,Najaribu kujifikirisha hivi hao wanaomshikilia Lisu leo nakuendelea kumshilia ingekuwa ndo wao ingekuwaje? Sisemi Mtu ajifanyie chochote kuvunja sheria Kwanini viongozi na wengine walio na watu wao huko hutenda makosa na huficha au serikali hupotezea na sheria iko wazi kawasaki hawa watu,Imagine kusema Lisu ni kama kafara ambayo imetolewa kwa faida ya mtu au kundi la watu na wakimwachia kafara yao imeharibika
2026-07-20 13:46:51
0
weka alama!!!!!!!!!! mr :
dsh
2026-07-20 13:06:44
1
TUSA :
Tz tungefuata sheria tulizojiwekea na uwajibikaji tungekua mbali sana
2026-07-20 10:01:47
1
Mendez furniture :
Lissu ni mwenyekit sio aliyekua
2026-07-20 06:20:40
1
meckgodfrey :
mwalimu wa sheria na wanafunzi wake
free tundulisu
2026-07-20 12:06:16
0
RAPHAEL JOSEPH🇿🇦🇿🇦🇿🇦 :
alye kuwa kwani saiv ni nan?
2026-07-19 17:10:18
1
Kijana Kiziwi :
MEDIA UCHWARA HIZI
2026-07-20 11:59:26
0
shukuru :
wafundishe shelia hao
2026-07-19 15:12:33
1
Alifurniture :
sio aliyekuwa bado ni mwenyikiti nyie waandishi
2026-07-19 14:18:02
1
John Mtena :
mahakaman au maabusu sio sehem ya hako
2026-07-19 10:02:14
1
dorcas :
yaani huwa nasikia hasira vibaya mno mungu utendae miujiza na utende na kwa huyu ndugu yetu
2026-07-19 14:33:55
1
mgwaneza ndushabandi :
mwandishi acha dharau alie kuwa mwenye kiti sema mwenye kiti sio alie kuwa umeambiwa kuna mwenye kiti mwingine na yeye 🫵🫵🫵🫵
2026-07-19 16:36:29
3
Msanii_mfuniko🇹🇿🤣 :
mwalimu washeria huyo
2026-07-19 20:19:32
1
Baraq Lim Oo :
ipo siku tu aliemuweka lisu gerezani kwa mashtaka ya ya uongo pia na yeye ataingia tu mahakamani hakuna kisichopita kwenye hii dunia 😭😭
2026-07-20 03:29:54
0
""The Matthew Jr"" :
Mandela alikuwa wa Watu weusi wa Afrika Kusini,huyu Mandela wa watu gani....!?
2026-07-20 13:53:43
0
SIBU NDEMBE :
🤐🤐🤐🤐🤐😭😭😭😭😭
2026-07-19 16:18:11
2
To see more videos from user @mjadalatv, please go to the Tikwm
homepage.