Game jau so nabaki underground mpaka kufa💪🏾💪🏾✌🏾 black maradona 🔥🔥
2026-07-19 12:49:11
70
☥ Ba Mchaga ☥ :
Jamaa kaongea fact, ila wabongo wanaleta hisia kwenye game , anachofanya Dzasta mtaani wapo kibao wanafanya ila hawajulikani tu🙌🏿🙌🏿, TZ wakiskia legend kasifia mtu nao wanabaki nacho kichwan
2026-07-19 08:24:10
74
the_tooth_nomad 🦷🦷🦷 :
Dizasta ni Nembo ya mtaa, Afu kila mtu anafanya kile anachoona Kiko sahihi, Dizasta amechagua kubaki Underground hajaamua kwenda huko Mainstream ambako hao akina Lunya wanafanya.... izo label zenyewe ambazo wako hawapati kile wanachostaili since Lunya amesaini izo Label uchawala tulitegemea awe ameenda mbali ila Kikowapi hakuna kitu kwenye izo Label Zaid ya kuchukua tuzu za kupeana.
2026-07-19 13:31:17
76
𝗧𝗶𝗻𝗻𝗼_𝗗𝗶𝗺𝗽𝗼𝘇 :
tunaomkubali @dizasta vina weka like apa
2026-07-19 08:48:38
200
Black maradona Truck Driver Tz :
kwani huyu nani
2026-07-19 12:53:14
27
Swatt_255.🇹🇿 :
there's something wrong btn him and dizasta sio siri 😂
2026-07-19 13:40:39
8
Makoti :
nafuta nyimbo zako zotee
2026-07-19 13:03:44
13
JB Bàsúpã :
Kabla Ya kuja tunapo seto manguli,Ongeza kazi
2026-07-19 18:36:24
16
Raha Sana Trader's. Cape 2 Dar :
Kaka Mimi Hapa Nakuhakikishia Kama Utakaza Upo Uwezekano Wa Kutoboa Bila Kumsema Mtu Kaka Inachosha Huoni Kila Leo Wamzungumzia Mtu HAKUZUNGUMZII Kaka Angu....
Asiyeijua Madeni Kama Mimi Em Adondokee Hapa...
2026-07-19 08:17:09
18
Ashraf_99 :
Mashabiki wa Vina hata siku moja hatujawahi kumshindanisha Vina kwenye mziki biashara hata siku moja. Sisi kilio chetu kwenye HipHop hii ya Bongo hakuna mkali kwenye kuandika, madini, philosophy, conspiracy theories, etc kwenye game kama Vina. but tukija kwenye mziki pesa mbona mashabiki wa Vina tunajua kuwa
"sina sponsor kwa hiyo
sijaguliwi hobby
silipiwo kodi"
2026-07-19 20:04:44
16
Nyegere boy 🦡 :
kwanini Dizasta 😅😅 kama umuelewi temana naye siyo lazima umuongelee
2026-07-20 04:32:01
7
Malkia wa fursa 🇹🇿 :
Nitabaki underground mpaka kufa📌
2026-07-20 13:40:37
10
official rancho :
dizasta ni mwanamziki so msanii
2026-07-19 12:52:38
32
Maestro :
baba alimpenda mama na mamaa akujua "
2026-07-19 22:34:02
10
Kijumbe YsL :
no body is safe 4
2026-07-19 14:19:17
6
maestro,26 :
bila dizasita vina siwez kuskiliza hip hop jitaid uwe unapanga hoja unapotaja ilo jina huyo ni mungu wa rap mamae
2026-07-19 08:57:06
10
Luckyclay Brighton :
ropoka...ukimaliza ujue dizasta ni infinite sine
2026-07-19 12:51:23
10
Goodluck Siogopi :
we jamaa Achana na dizasta. n MUNGU WA rap mzee
2026-07-19 08:06:11
18
Msabato Ze Son :
hiyo NI kweli kabisa dizasta Mtoto tu
2026-07-19 07:35:43
8
VYOMBO VYA MZIKI🎸🎹🎷🥁🎻🎺🎙 :
lunya anafanya biashara ya mziki, Dizasta anafanya movement kiufupi anafanya maana halisi ya hip-hop(movement of knowledge). hata mbele wapo wengi sana na wanaheshika sana kina KRS-one, kina mos def, common, black thought, Rakim, Nas...hapo ni kufananisha rapper na Mc
2026-07-19 14:50:56
8
denamu@01 :
naomba mmoja a like ili kwanza nimalize hasira ntarudi
2026-07-19 07:34:55
5
y.w pangan :
wew acha kumfananisha vina na watot kwenye gemu
2026-07-20 18:53:25
1
iammoremade :
Tory Lanez,mick mill niwasanii wakubwa na hawako kweny lebel na wanakusanya michuzi vizur tu
2026-07-21 11:56:59
0
L I A M :
Sio kila mmoja anachagua kuishi Mainstream au Corporate.
Hata huko Magharibi kuna underground legends kibao sababu wamechagua maisha hayo.
Jua kutofautisha "Biashara ya Muziki" na Sanaa ya Muziki in general.
Uchambuzi + Hisia = Mtazamo.
2026-07-19 23:30:45
3
nicoboyt3 engineer :
mm ni mgeni ety huyu kaka ake na anko T
2026-07-22 12:19:20
0
To see more videos from user @mamen_nobo, please go to the Tikwm
homepage.