Daa mtumishi hapo unapotosha kabisa, hiyo ni tafsiri potofu ya maandiko. Halafu baada ya lucifer kuasi kule mbinguni pamoja na wale malaika waliopotoka naye. Mungu hajaacha nafasi yoyote ya malaika watakatifu kukosea, wala hajatoa nafasi yoyote ya mapepo kutubu
2026-07-19 18:49:19
7
Nehemiah Edward :
tupe maandiko yanayothibitisha maneno yako!! vinginevyo unaongea propaganda tu
2026-09-08 07:32:43
0
MWL JAMES MLULA :
MAZARA YA KUSOMA THIOLOJIA NDIO HIYO KWASABABU ANACHO KIFUNDISHWA NDIO CHA DARASANI HILA AYUPO ROHONI SO WAPENDWA HAKIKISHA UNAWITO WA KUFANYA KAZI YA MUNGU SIO ELIMU YA THIOLOJIA
2026-07-21 06:41:03
7
Apostle John Nengala :
tukisema watu wasome theologia hamtaki. ona sasa.
2026-07-20 09:02:20
1
Katoto ka Yesu :
mmh jaman tujisomee tu wenyewe
2026-07-19 22:30:02
4
EMMANUEL :
ebu futeni hii video jamani
2026-07-20 11:50:37
0
apostle -Dodomwa :
nilikuwa naitafta Amina kwenye comments nashukur Mungu nimeikosa
2026-07-20 16:41:56
1
ra'ah chozeh :
Jamn jamn tusome
2026-07-20 06:32:16
0
AARON SHINA MWAIFWANI :
malaika yes wanakosea ila mfano uliotumia mtumishi haujakaa sawa mtu wa Mungu unaweza kutumia hata mwanzo 6:1- kuendelea itasaidia kufikisha ujumbe
2026-07-26 15:54:46
0
PROPHET GODY🔥🔥🔥FIRE :
jaman Aya ndiyo matatizo ya kufanya huduma bila maandalizi ya kiroho
2026-07-20 05:57:52
7
EMMANUEL F MWASONGWE :
nimesikiliza mpaka mwisho lakini mmmmh tumepigwa labda unieleweshe
2026-07-20 07:10:11
0
David Lemson Ministries :
Mzee soma neno vizuri
2026-07-20 15:27:27
0
Lutonjaandrea :
m nashindwa kuelewa, nashindwa kuelewa 😂😂
2026-07-20 08:50:05
2
KAYOKA :
hapo pastor mwenzangu umewapiga watu, akili za kuambiwa changanya na kumsikiliza ROHO MTAKATIFU.
2026-08-26 17:52:13
2
JuniorWiseProphet :
😂😂😂Aiseeeee haya mafunuo ni hatari
2026-07-19 17:33:58
3
Gad Mat :
Acha Habari za uongo
2026-07-20 15:04:07
0
Daudi Dandi :
Unakosea hakuna malaika anayefanya kwa utashi wake mwenyewe aliyepewa utashi ni mwanadamu tu malaika huagizwa na Mungu
2026-07-19 16:04:28
1
Simba kijana :
hmmm Dunia inamengi ivi kunawayu niwaxhilil wa kanisa lako nawanakusikiliza et
2026-07-19 18:21:47
0
godfreymiyonjo :
kwani YESU alipaswa kuwa mfalme wa wapi?
2026-07-20 00:09:50
2
To see more videos from user @gseven.mwasomola, please go to the Tikwm
homepage.