@djtravellamrmixondo:

DJ TRAVELLA MR MIXONDO 🇹🇿
DJ TRAVELLA MR MIXONDO 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: FR
Sunday 19 July 2026 07:53:11 GMT
167078
14901
330
183

Music

Download

Comments

its.me_omy
Ïtš mę_ØMMŸ :
Soon tu tutapata machura wa kizungu😂😂😂😂
2026-07-24 07:28:00
127
madejesh1234
madejesh1234 :
Tusipo kuwa makini watatupiku hawa
2026-07-20 04:27:36
75
user1131460627358
love cute :
kama una mkubali travela tujuane apo
2026-07-19 13:28:22
116
user1800524017935
manWater5 🇹🇿 :
Kumbe na kule waswahil wpo 😁
2026-07-25 20:30:26
6
bashite2026
Bashite :
Miaka3 Mbele utawaskia wazungu singeli tumeanzisha sis
2026-07-19 19:39:39
37
makwaza17
❓❓MAKWAZA∆∆ :
wewe kwa miso afiki uyo usimdanganye kaka🥰🥰
2026-07-19 15:14:43
9
itsflowergal
@its_flowergal❤️ :
Wazungu tushawapoteza
2026-07-25 15:32:27
12
young.emma4
Super tall :
Umu tuu
2026-07-25 19:04:46
5
ktwo.mnyama2
MR PAKAH :
Siku moja moja natamani kuona Ata ukiwa na msanii apo anaimba
2026-07-19 08:00:32
13
totoo.shrouf
Totoo Shrouf :
apo kakosekana mdogo elisha😂😂
2026-07-23 21:25:51
6
user46620933562365
m@g@ ch@ch@ :
ila familia iki unacho kifanya kwa taifa letu ni kitu kikubwa sana ila kwa mtu anae kuelewa. na pia madj na waimba singeli wa bongo inatakiwa wakupe eshima yako nakukubali sana travooooo
2026-07-19 19:59:06
19
dallasy433
DALLAS :
afu kuna mtz yeye anadai anapenda nyimbo za westlife tuu
2026-07-23 23:16:15
5
djchaiembe2
DJ 👀Edo 47 mkalii🔥 :
broo kwa madj wa singel amna wa kukufata we mkalii 🔥
2026-07-19 08:15:45
6
jilebway
jilebway :
nakukubali sana dj travela unatuwakirisha vyema sasa sasa inatakiwa unatafute marapa wa singeli wanaoweza kuchana kifaransa utatisha zaid
2026-07-21 18:08:16
6
user3036320215703
25brand nation :
kaka safar ijayo nibebe na mim duuh
2026-07-19 14:51:44
8
djsaddy.tarent.ma
DjSaddy Tarent man :
Bravo sana mzeee
2026-07-25 09:21:58
2
mrssibuti1
Chosen One🦅 :
2026-07-28 06:49:35
1
abuuviper
sheikhe mbuzi 🐐 :
singeli for life 😁
2026-07-29 09:46:19
1
To see more videos from user @djtravellamrmixondo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About