@harry_the_driver: #creatorsearchinsights Plz naombeni mawazo yenu labda kweli nimekosea, na Kama ni mimi Mwenye makosa basi namrudishia pesa zake 🙏😩 #harrythedriver #creatorsearchinsights #harrywatwende #confused
Adaiwi huyo si alilipa kupitia namba hiyo hiyo na umemrudishia kwa namba hiyo hiyo …pia kama salikosea na hakunotice mpqka ulipo mjulisha inamaana hiyo hela alituma direct tu angekua anadaiwa kipindi cha kutuma angegundua tu kwamba kakosea kuandika maana hao songesha wasingekubali hichi kiwango ata wangekubali angeona message nyingi hizo za songesha etc… atutumie hiyo message kwanza inayoonesha hiyo hela imekatwa
2026-07-19 08:27:55
72
user29908259724084 :
hilo tahira
2026-07-19 11:45:24
29
Kinemo :
kesi ndogo hiyo
muache aende polisi hiyo kesi inamgeukia na songesha nao waanzie hapo. wewe wala hata usimtafute tena
2026-07-19 08:29:36
37
Rukundo Charles :
acha nae
2026-07-19 13:20:21
1
🤡❤️🎀 tiffany :
mwambie amended police bhan
2026-07-19 13:49:29
1
Mamanaa'S :
Asikusumbue uyo achan nae akashtaki anakotaka
2026-07-19 13:14:13
12
user6166210312618 :
aende polisi asikuchanganye dada kwan deni si lake
2026-07-19 16:38:12
24
deegee298 :
We utakuwa ulimpenda uyo kaka naweee 😳
2026-07-19 09:40:11
32
Cathy🦋💫 :
muache akupeleke polisi
2026-07-19 08:21:14
15
Mmline :
Alafu nilibebe la mtu😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka sanaa lakini pole kipenzi Mwambie eende iyo police
2026-07-19 13:17:06
2
jax🧢 :
SONGESHA WANASEMAJE😅😅😅
2026-07-20 06:36:25
6
LAIZER TZ :
Dawa ya deni ni kulipa Aende Polisi asikusumbue
2026-07-19 08:27:25
21
Nyemo Mwinje :
ila umekosea haukupaswa kumtumia mpaka akwambie utume kwenye namba ipi
2026-07-19 08:27:54
8
Lipondo jr :
Dada usirudishe pesa a ha aende POLICE cha muhimu baki na msg ya usibitisho na hiyo voice not
2026-07-19 16:34:11
4
B.macsmiler🫶🏾❣️ :
Ila binadam jmn Yan na hapo umemtafuta mwenyew na kumrudishia af anakuletea mamb ya ajabu ndomaan watu wengine hawarudishag.....achana nae aend anapoend mwaya hakuna kitakachokukuta
2026-07-19 09:40:13
9
ADDY _COLLECTION💸 :
Nenda ka report kituo cha polisi
2026-07-19 08:23:03
4
alex21 :
Huyu anataka akutapeli wewe sasa.
Usimtumie hella yoyote
Baki na msg ya uthibitisho kua ulishamtumia hella yake.
Don't be stressed🥰
2026-07-19 12:24:55
8
𝐐𝐀𝐓𝐎𝐙𝐙𝐘 26🇿🇦 :
ntumie hela yang em wewe😁😁😁
2026-07-19 08:21:04
5
I.am_josephine 07 :
Mwambie Akope Tena Si Kasharudisha Deni, Alafu Si Umemrudishia Kwenye Number ambayo alikutumia ww hela Huna Makosa Umerudisha kwenye Number aliyekutumia Hela, Ikishindikana Mwambiie Akupeleke Polisi ili Msolve,
2026-07-19 08:28:52
5
To see more videos from user @harry_the_driver, please go to the Tikwm
homepage.