@teemashauri_: Replying to @Topsystoretz There you go 😁🤙🏿

TUNSUBELEGE
TUNSUBELEGE
Open In TikTok:
Region: RO
Sunday 19 July 2026 08:27:30 GMT
51826
1732
259
135

Music

Download

Comments

zuugora.cosmetics
ZuuGora Cosmetics kkoo :
Very well explained, I appreciate it.
2026-07-19 20:21:47
0
twaibaty9
Tee~40💕🥀 :
Mm nlinunua nashukuru mungu yamenisaidia Nimeungua kam mahind 🥺🥺
2026-07-19 16:55:32
50
missberna0
miss berry :
bas nimeshaijua original
2026-07-19 16:40:52
0
irenegilbert97
Made in Tanzania🇹🇿 :
Yani Tofauti inaonekana kabisaa..Mixa Original Duara la Hapo Juu ni Kubwa,Mixa Fake hako kaduara ni Kadogo Japokuwa Yote yana Barcode Scanner
2026-07-19 08:41:15
31
lucky35714
Lucky beute😊💃 :
Aaa mm yangu ikohivo akin haina QR code 😂😂 nahemeaa mipira
2026-07-19 16:53:47
12
officialmimah011
Mimah🦋 :
Hahhahahha mixa 25k cjui wauzaji wananunua shiling ngap + shipping🤣
2026-07-19 14:37:43
5
dinasmn
Ds 🎀🫧 :
Sitaki tena kutumia bidhaa zinazotrend.🙌🏼
2026-07-20 02:17:55
5
topsytz
Topsystoretz :
Asante sana uzuri nilinunua hii muda kidogo (may) ni mapya nilinunua kusupport biashara ya mtu
2026-07-19 08:38:55
17
cpavv1
❤️Hidaya💕💞 :
Walahi hizi za bongo zote feki..angalieni scan code ilipo...tofauti na za bongo yereuwiiii
2026-07-19 16:33:45
8
msraquel22
Rachel :
Rafiki angu yupo Germany kanunua 24000
2026-07-19 09:17:03
3
l.u.l.ume
l.u.l.ume :
Kwa style hii bongo zote ni copy sasa😂😂🙌🏽
2026-07-19 20:09:57
3
munira.ally4
Munira Ally :
Tanzania tusubili sana
2026-07-19 20:15:50
0
gram_events
GREEZY 👑 :
Za kariakoo scan iko pembeni kule 😂😂
2026-07-19 16:55:59
2
azepa_cosmetics.tz
Azepa_cosmetics.tz :
bora tuungane kuwambia ukweli maana watu wapo kiushzbiki sanaa
2026-07-19 18:35:35
1
ummmariam11
Miss Tea Rious💞 :
Kwani yanasaidia nini
2026-07-19 20:24:30
0
missjay510
missjay510 :
Ukweli ni kwamba vipodozi vingi fake na walijisema wao live na kinachoonekana ni mdogo wako ndo utapata watejaw
2026-07-19 10:06:32
0
jamiriyaamasi
Naomi ❤💫 :
Mimi nashukuru2 umenifundisha namna ya kujua kitu original na feke takuwa na scan nisipo ona QR sibebu
2026-07-19 18:41:00
0
irenejohn26
Rynejoh :
Yangu niliyanunulia tu kwa mfanyabiashara mkubwa ambae nae yupo kwenye hizi ligi za bei ila hayapo ivyo
2026-07-19 10:40:45
4
olivemwafulirwa1
Mwajuma :
hapo ni rejareja,jumla je
2026-07-19 18:50:18
0
_pendo26
__p£ndo26 :
Tuletee tunsu tushachanganyikiwa😂
2026-07-19 16:31:34
0
finest_luxestore2
finest_luxestore255 :
Hio og kabisa🔥🔥🔥
2026-07-19 08:36:12
3
To see more videos from user @teemashauri_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About