@niccollasy: Nani mwingine amewah kutana na hili jambo😂😂😂😂#tiktoktanzania🇹🇿 #goviral #tiktokkenya🇰🇪

niccollasy✝️🐶
niccollasy✝️🐶
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 19 July 2026 09:03:01 GMT
92384
8335
392
225

Music

Download

Comments

bee_tricey
Bee🫧🌥️🧸 :
Ivi watu wa nida kwann kila saa wana hasira 🤣
2026-07-19 10:31:51
259
tycoon6010
tycoon :
Ushai enda masjala kwenye halmashauri😂😂😂😂😂
2026-07-19 09:23:02
103
mishi.salum4
Mishi Salum :
ila nidaaa😅😅
2026-07-19 09:07:44
82
nabii_600
Nabii.. :
watu wa nida utaskia toa kofia😂😂😂
2026-07-19 17:36:18
52
shamshu_16
shamshu :
ila nidaa wanaona kama vile wanakupa uhaii🤣
2026-07-19 09:55:11
38
mbeyaqueen1
@mbeya queen👑. :
mie nasubiliaga mkuu wamajeshi😂😂😂
2026-07-19 09:59:30
19
betty_rodgers_maligana
Nurse_betty💞 :
yani ukishaskia tu "Wana niita mkuu wa majeshi"😂😂 hapo kuna shida
2026-07-19 11:32:03
27
sai_wizzy744
sai_wizzy744 :
yeye na wenzake ☺️☺️☺️wana niitaje vileee😂😂😂😂
2026-07-19 09:09:00
30
pendo.outfits.stor
Pendo outfits store :
🤣🤣🤣 embu tengeneza ya mitandao ya tz tuone ila naomba halotel iwe ya mwisho bhn maan halotel🤣🤣🙌🙌🙌
2026-07-24 13:00:11
1
saidiwaleo
Saidi waleo :
ila watu wa NIDA kama wamelazimishwa kukaa ofisin vile
2026-07-21 12:24:06
2
nazminaactress
❤️Nazmina🦋🦋 :
Nilitiwa kofi ofisi ya nida kwenye picha nilisahau nika smile batimbaya😂😂
2026-07-20 07:28:03
8
jack_wizzy04
JACK WIZZY_04🤴🏿♨️ :
😂😂😂wa kwanza
2026-07-19 09:04:47
10
agnesspete
da aggy😍 :
nida umeuwa acha nikupe like
2026-07-19 11:09:31
11
ery_jack
Ery jack💓💞 :
Nmewai gombana na afisa wa nida nikaondoka na fomu zangu na kiburi yangu😂😂nikarudi mwakani ameshaamishwa😂
2026-07-19 12:06:41
7
regemwando
SilentSoul-254 :
hapoo kwenye nida😂😂
2026-07-19 09:29:05
0
naval0012
Naval+255☠ :
kwa nida hapo hua nachoka anakwambia ngoja naongea na sim😂
2026-07-19 14:34:54
6
minahmi3
minah 🇹🇿 :
😂😂😂ila mkuu wa majeshi
2026-07-19 09:08:48
7
stephenbartholom92
sbl :
ila nida 😅
2026-07-19 11:50:39
2
allansanga693
Allan Sanga :
ila nida na bima 🤣🤣🤣 nakubal kaka
2026-07-21 18:10:27
3
user18735922001267
user18735922001267 :
😂😂
2026-07-19 10:37:46
1
revonice.kaganga7
Revonice Kaganga :
mtu wa ardhi Jana kachinjwa huku ifakaraaa jamnii so sad
2026-07-21 15:38:38
1
vladimir_j7
10% 🪫 :
Watu wa nida wanavojikuta utadhani wanasajili uhai😂
2026-07-20 07:25:51
1
faustindavidfrancice
mgwaneza ndushabandi :
hapo kwenye NIDA na BIMA uhakika
2026-07-19 16:51:08
3
rehema.lameck
Rehema Lameck :
Watuuu wa nida hapan kwa kweliii wana majibuu🙌🙌
2026-07-19 18:42:43
2
To see more videos from user @niccollasy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About