@daudy.kennedy5: jaman Zanzibar uwanja wafumba uko mbiyoni

Daudy Kennedy
Daudy Kennedy
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 19 July 2026 09:34:36 GMT
33377
1698
47
57

Music

Download

Comments

football_lifeee93
😎 :
huu ndio uwanja wa kisasa pekee bongo hauna running tracks
2026-07-19 20:14:54
3
hasher.camal
Hasher camal! :
Watu wamevunja jiwe nd iakapatkana hiio sehemu
2026-07-19 20:25:59
9
fi3sdahza
MrAzhad :
Dah huko juu kuna view nzuri unaona bahari
2026-07-19 20:20:43
10
abrahman_official_2006
Abrahman🔥👑 :
upo maeneo gani hapa Zanzibar kwani?
2026-07-21 12:57:43
1
learnwithnuru
Learn with Nuru :
nimemuwah Daud Ni wangu
2026-07-20 08:26:35
1
isalans_film_group
MR.SAHIM ISALANS🇫🇷 :
bd mdogo
2026-07-19 16:35:38
2
raiyza.sikiza
Mussa :
wauwache wasiufunike uwe kama wa Barcelona
2026-07-22 20:54:18
0
dexigwason
de xigwason :
mashaallah ila una slope kali🙌🙌
2026-07-22 13:25:25
0
dr__karim1
Dr. Karim :
i will attend this stadium looks fantastic🤘😝🤘
2026-07-19 17:45:16
6
un_war50
AnwarMohammed :
unakimbia vp?😂
2026-07-20 07:44:00
1
basopa.og
basopa☘️og :
watu wanalia na zssf
2026-07-20 08:36:06
0
hussein.salim04
Hussein Salim :
big up sana one love bonge lauwanja
2026-07-19 17:10:40
2
street_tanzania
street_tanzania :
Zanzibar
2026-07-20 16:11:30
1
zubeli45
Fighter👊🔥💘. :
kitambo sana sijaja uko mwanang umeshafikia hatua iyo daah sopoa
2026-07-20 01:21:20
0
user3449313612123
unknown :
wenzenu wa arusha washamaliza sasa wapo na wa dodoma
2026-07-19 17:57:13
0
narrosmohammed
narrosmohammed :
huu ndio uwanja mzuri kuliko yote Tanzania kwanza upo karibu na beach nafu upo kwa matajiri wa zanzibar 😁
2026-07-19 20:20:53
4
baba.wa.imaan
Nyota ya kheri🌟 :
Ukikamilika huu uwanja Ndio utajua maana halisi ya tandika mgeni akae.
2026-07-20 06:26:56
0
ast..s.1og
ast .s.1og :
nakubal
2026-07-19 13:42:33
1
canalmasoud
꧁☬Canalmasoud☬꧂ :
mbona ndani ni mdogo ivo
2026-07-20 04:52:00
0
jaguar_jg_media
JG JAGUAR OG📚 :
🔥🔥🔥
2026-07-19 17:27:32
0
To see more videos from user @daudy.kennedy5, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About