kuhusu dini ya ukweli ni kweli Uislamu ndio dini. makosa ya mtu ni ya mtu mwenyewe. Uislamu upo ni dini ya kweli. na kwa hali hio Ndugu Hassan jazba zako zifanye kiasi usije kupindukia mipaka na wewe. t
2026-07-19 15:21:54
2
maryam :
Semausiogopesema😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-07-19 12:43:41
1
Salama Kazimoto :
ndugu uko sahihi uku kwetu kuna shekh kazi yake kuchukua wake za watu
2026-07-20 05:32:18
3
anamgulf corner :
wakati wa bwana mtume pia makosa ya kibunadamu yalikwepo kasome mwanzo koma na kuongea eti bora wakristo what does it mean?
2026-07-19 11:48:15
3
MEDARD A. ISSA :
ukiongea ukweli unachukiwa sana
2026-07-20 08:29:31
3
mtoto wa mfalme :
Ndio maana napenda kusikiza mafunzo yako, huchagui na hubagui, God bless you
2026-07-20 06:21:33
4
mwembo :
kweli kweli
2026-07-19 12:27:45
1
The Great :
Mungu hana dini, Mungu ana watu safi tu,haijalishi ni waislam, wakristo, wahindu, wapagani, budha, au. wayahudu. hzi dini ni utawala tu binadamu kajiwekea ndio maana anazitumia atakavyo
2026-07-19 20:26:30
1
Zena Mzuri Kwao Zennah :
mungu hamfichi mnafik nakukubali kakaangu wanazidi kuumbuka wanafik kila siku
2026-07-20 19:13:21
0
israelismwasibale :
MUNGU akulinde Hassan jah endelea kutufunza kuhusu hii Dunia Kwa upeo wako
2026-07-20 08:11:07
1
magie :
farisayo
2026-07-20 17:24:07
0
Charles Philipo :
🤣🤣🤣🤣🤣 shekhe angalia
2026-07-19 14:29:46
2
ipuli :
@aiseee wee baba nimkweli haswaa mungu akuzidishie hekima.
2026-07-19 13:24:08
1
Agano jipya(New tastment) :
UPO SAWA SHEIKH,
2026-07-20 13:24:20
1
user3164192972722 :
Kuna uhakika gani kuwa sauti ya huyu anayoongea ni kweli?
2026-07-19 09:46:28
0
jeremiahmongi3 :
Jah kma jah
2026-07-19 16:06:29
1
justinkiswasi :
unasema kweli kabisa
2026-07-20 09:04:40
0
Mjuni Matibu :
sjawai kukupinga mzee wangu hata sku 1
2026-07-20 12:58:06
0
user615168778880 :
Fact
2026-07-20 11:52:56
0
ethan :
unasema kweli baba
2026-07-20 11:20:25
0
user356027449047 :
hizi ni Zaman za mwisho
2026-07-20 10:20:22
0
PACIENTE TRADING :
sheikh unawajumuisha wote bana 🤣
2026-07-19 09:48:45
1
To see more videos from user @hassanjah7, please go to the Tikwm
homepage.