😂😂😂😂kakangu alikuwa hapendi kuniona hata tu nikikatiza karibu yake
2026-07-19 20:38:51
281
miss_noury🪷 :
Vibe la mzazi kuja kwenye kikao vp😂🤭 ela atanipa ingine ata kama alinipa asubh
2026-07-20 06:31:23
94
Nurse_betty💞 :
anakuja kudai hela yake ambayo mliambiwa mgawane na mama😂😂
2026-07-19 18:04:36
190
Jackbhoke🇹🇿❤️ :
mimi kaka yng alishawai kunitelekeza mtaroni na darajani kisa ty kaambiwa anipeleke nyumbn nilikua naumwa 😂😂😂
2026-07-20 06:15:30
36
queenluluuu_ :
Mmenikumbusha mbali mm ndo huyo mdogo aliyepelekwa kwa kaka angu na sikujinyea nilijiharishia na kujitapikia…akanipeleka mferejini akanitumbukiza kama anaosha sahani🤣
2026-07-20 11:29:58
18
Leelysa1 :
😂😂😂Mi last born
2026-07-20 04:55:58
0
❤️Nazmina🦋🦋 :
Me kaka angu nilimpelekea utumbo wakuku tuliokuw tukiungaikia usiku kucha asubuhi kasahau nikamfata dalasan nilifukuzwa na kikontena changu😂😂😂
2026-07-20 07:01:22
21
RAHMA 😋 :
Iv nyie😁
2026-07-19 19:02:58
1
judy virutubisho+255713502106 :
Umenikumbusha nilikuwa nasoma Shule msingi bwana darasa la 2 dada yangu la sita , sasa nikajikolea darasan nikiwa nimelala Mwalimu Akasema niende kwa dada angu anipeleke Nyumbani 😀😀😀si nikaenda darasani kwao bwana nikakuta Mwalimu anafundisha şayansi nikagonga hodi Mwalimu Akasema Ingia , mie Nikasema “naomba dada anipeleke Nyumbani ninejikojolea naumwa 😂😂😂wanafunzi wa La sita wote walicheka kwa nguvu dah nilimdhalilisha dada angu 2005 kibasila primary school 😃😃
2026-07-20 02:31:26
31
Mom............Junior🥰🫂♥️ :
mm nilikuwaga spend nikitoka shulen nmetunziwa chakula chang nakenywe kanataka kale 😂😂
2026-07-20 06:24:45
7
GH decoration :
Sema shule ya msingi😂😂😂 sio primary 😂😂
2026-07-19 22:21:34
14
Mohammed :
Mimi hadi msikitini mdogo wangu wakike ananifata nilipo atakama nipo safu ya mbele😂😂😂
2026-07-20 04:39:05
5
mshihiri_istore :
Bora wazazi walinipata wakiwa 17 sikupata hii aibu🔥😂
2026-07-19 19:50:54
10
raychel 6 :
Me mdogo angu alikuwa anakuja na kundi la rafiki zake kuja kuomba mia na wakati home wote tulipewa hela 😂
2026-07-20 06:35:31
8
Sataekh 💎 :
mm nilimwambia mdg wangu aje saa nne aniite kwa jina la kizungu 😂 wabasi mwalim akamwambia huyo mtu humu hayupo😂😂🙌 nikasema ni mm bas darasa Zima walichoka na jina langu 😂
2026-07-19 22:22:42
5
meyac :
ila Gift alikuw anajua kunitesa jmn hatupew hel mapumzk ykifik utmuon huyooo ankuj kudai n anajua cjpew nyie😂😂kunitia maden tu
2026-07-20 04:40:18
7
bint ally :
mi nilikua namuambia mdgo wang tukishuka tu kwenye gar tuish kama hatujuani udugu nyumbani😂😂ila akipigwa ndio dam nzito lazma nikapambane na maadui😂😂
2026-07-20 06:41:48
5
official filo _99 :
aliiba pensel ya mtoto wa mwalimu afu akanipa mim 😂😂😂😂
2026-07-19 19:46:43
13
ms _ tiffy🎀🫀 :
Me watu walikuwa hawanigusi maana muda wowote nikienda kusema kwa kaka zangu kipigo wanachopata hadi ikitokea nimelia darasan watu wananibembeleza nisiende kusema kwa kaka zangu😂😂😂
2026-07-20 05:38:17
7
To see more videos from user @makaveli_48, please go to the Tikwm
homepage.