Mi ndo nishachelewa nina Arthur na Ariel๐๐ anyway watajua wenyewe
2026-07-19 17:38:03
297
ALLY SAIDI MPANGALA :
Faida ya kwanza ukimpa jina la A ni kwamba ataanza kuitwa wa mwanzo mwanzo kwenye attendance ya darasani kitu ambacho kitamfanya mwalimu ammkariri kwa urahic na kumfatilia kina myenendo yake of which kitaaluma ni advantage kwako mzazi kwa sababu mwanao atakuwa rahic kutambulika na kushughulikiwa.
Faida ya pili, atapangwa mbele kwenye mitihan yake ya ndani na nje ya ktaifa kitu ambacho kitamfanya awe independent kwani kukaa mbele tu kutamjenga katika kuamini nguzo ya kujitegemea mwenyewe(Kama mchezaji wa mpira kufunga goli bila kupewa assist wanaita SOLO GOAL unaburuza mpira kuanzia katikati mpaka kwa golikipa then unamfunga unawapatiga vyenga wote mpaka kipa๐๐คฃ.
Akiwa hivyo maana yake atajijenga hivyo zaidi kuliko kutegemea Chabo,(Mikwaju ya penati) hilo jambo kisaikolojia litamjenga katika namna ya kuamini kusoma kwa bidii ndio nguzo ya la kuponea na kutokutegemea mikwaju ya penati.
Naomba kuwasilisha
๐ ๐ ๐ ๐ ๐
By.Mwl.MPANGALA.๐๐๐
2026-07-20 14:10:53
66
Florence J square ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ :
hahaha ๐๐คฃ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ nachoka mm