@koalyrics01145: Jamani karibuni nyumbani by Ambwene mwasongwe #ambwenemwasongwe #tiktoktanzania #kenyantiktok #koalyrics

KOA-lyrics 🎶
KOA-lyrics 🎶
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 19 July 2026 10:29:37 GMT
117495
8486
49
358

Music

Download

Comments

mariamyoel8
✨️mamu❤️💦 :
nashindwaga kuuelewa huu wimbo ni wa uzuni au maana sielew
2026-08-12 11:53:46
6
anna.ally63
Nerd R. M :
jaman inasikitisha 😢😢😭😭😭
2026-08-28 10:43:15
1
emo_products
Emo product :
mwingine alisimama akatafakari akapiga hesabu ya maisha yake akaona mambo yake hayapo sawa akatazama nyuma alipotoka akasema jamani niombeeni mambo ni magumu hali ninayopitia hata siielewi........
2026-08-15 20:00:58
9
prossfineclement
prossfineclement :
kaaa ujawai kupitia hali hii uwezi kuelewa😢😢😢
2026-09-01 10:04:33
1
shabizzy03
Elis :
huu wimbo una itwaje wakuu
2026-09-17 08:21:04
1
user17961940697237
rosekimaro :
inaumiza kwenda hme arafu ukuti wazazi😭😭😭
2026-08-22 04:39:13
7
norapaul81
Nora Paul :
napenda hii nyimb jaman
2026-08-13 11:18:44
0
pretty.vee319
pretty vee🥰😘 :
polen
2026-08-10 12:30:08
0
tumaxjohn
BrainyJester✨ :
Kwan full lyrics ntazipata wap ndugu
2026-07-19 11:43:36
1
official.tricy7
Official tricy❤️❤️ :
kuna mda tunapitia magumu kwenye famikia zetu lakn Mungu ajawah kutuacha kati kati ya magumu hayo😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌
2026-08-22 09:48:24
3
rose348796
Behavioral changes. WELCOME :
asanteeee
2026-08-27 17:51:07
0
barbie_zai
Barbie zai :
namkumbuka babu yangu🥺
2026-08-19 05:13:48
1
mc.cleopatra.j
mc cleopatra J :
Balaaaa aiseee 😳😳😳😌
2026-08-06 15:07:33
1
kokushujaa
koku :
naupenda sana
2026-08-17 17:01:09
0
badgirloo7
BAD GIRL :
dah song
2026-07-19 13:08:11
0
user4978888783881
vardo. R. :
mungu abariki mikono Yako kwa Kaz nzur 🫵🙏🙏🙏
2026-08-29 06:37:13
0
user749409610944
user749409610944 :
jina la waimbo tulikotoka ni mbali by ambwene mwasonge
2026-09-09 14:09:37
0
hope.for.very.chi
Hope for very child :
Sisi tumesha fika anatwelekeza
2026-08-18 04:34:33
0
user2202165163349
baraka moses :
daaah
2026-08-14 07:29:30
0
wesamabuu
wesam :
niçe job
2026-07-26 17:22:38
0
bebe.lucya
BEBE LUCYA 🦋🌹 :
daaaaaaaanh
2026-09-08 20:46:27
0
..russy
..Russy🦋 :
😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-09-18 20:46:06
0
user2010492832037
0774805535 :
kikubwa kupamban
2026-08-12 05:21:28
0
latifa.mtega
Latifa Mtega :
daa😢
2026-08-12 19:53:07
0
shubybakama
Shuby Bakama :
ukienda kijijini kwetu utakuta kimyaaaa baba angu.. bamkubwa .. kina anty wa2 bibi babu 😭😭😭😭😭 yani ni mwendo wa makabur tuu.. inauma sana
2026-08-14 21:26:55
3
To see more videos from user @koalyrics01145, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About