@modernhome_builders.tz: NYUMBA YA VYUMBA VITATU JUMLA KUU (BOMA + ROOF) 👉 17,822,000 TZS 🔹 JUMLA BOMA = 11,134,000 TZS 🏠 Tofali inch 6 → 1400 × 1,400 = 1,820,000 Tofali inch 5 → 2000 × 1,300 = 2,600,000 Cement → 90 × 18,000 = 1,620,000 Kokoto → 2 × 600,000 = 1,200,000 Mchanga → 2 × 400,000 = 800,000 Nondo 12mm → 70 × 24,000 = 1,680,000 Ringi beam → 500 × 700 = 350,000 Binding wire = 85,000 Mbao 2×2 → 30 × 3,000 = 90,000 Mbao za sahani → 23 × 7,000 = 161,000 Mbao 2×4 → 20 × 6,000 = 120,000 Mirunda → 40 × 4,000 = 160,000 Marine board → 5 × 44,000 = 220,000 Ndoo → 8 × 6,000 = 48,000 Chepe → 4 × 10,000 = 40,000 Sululu → 2 × 10,000 = 20,000 Jembe → 2 × 1,000 = 2,000 Kama → 8 × 1,000 = 8,000 Misumari → 20kg × 4,000 = 80,000 Chokaa → 2 × 15,000 = 30,000 GHARAMA YA ROOF Bati → 125 × 30,000 = 3,750,000 Mbao 2×2 → 300 × 3,500 = 1,050,000 Mbao 2×4 → 200 × 700 = 140,000 Vale → 30 × 18,000 = 540,000 Cofina → 36 × 18,000 = 648,000 Misumari → 100kg × 4,000 = 400,000 Misumari ya bati (makadirio) → 40kg × 4,000 = 160,000 🔹 JUMLA ROOF = 6,688,000 TZS 💰 ✅ Hii ni material only (hakuna ufundi, maji, usafiri, kifusi ⚠️ Bei zinaweza kubadilika kulingana na soko #creatorsearchinsights #modernhomebuilderstz #LuxuryHomeDesign #ramaninaujenzi #architecturedesign
modernhome_builders.tz
Region: TZ
Sunday 19 July 2026 11:00:13 GMT
Music
Download
Comments
sokwe :
Garama ya aka kanyumba
2026-07-19 20:10:51
0
Amy🦋 :
So ni vyumba 3 tuu au kuna umejumlisha hadi hesabu za dining sebule public toi jiko? Na vyumba hivo ni master au single?
2026-07-20 18:06:50
0
~me💞eyes :
Nipeni garama ya upauwaji nipo hapa nasubilia majibu
2026-07-20 12:57:47
0
user3878690986938 :
naomba namba yako mkuu tufanye kazi
2026-07-20 15:44:27
0
Nickson Minja :
hizo hesabu zako ni batili huwezi niambia bado 1 ya 2x2 ni3500 afu ya 2x4 iwe700
2026-07-20 18:21:28
0
omary halfani :
naweza nikapata ramani ya hii
2026-07-19 21:20:12
0
She is Asha🥰 :
kwahy nikiwa na milion 10 naishia wapi ety fundi nyumba kama io
2026-07-20 18:21:40
0
ddg :
kwa aina hii utafika mbali maana hutaki kuficha wala kuiba kitu kila kitu umeweka wazi ntakutafuta soon🙏
2026-07-19 20:50:47
0
saddy ibrah :
hii inakuaje fundi huna chepe, jembe wala sululu 😅
2026-07-19 22:04:46
2
zairo369 :
wewe sasa hujawa mbinafsi wala sio muongo kuba wengine wanawadanganya ml 3 unajenga boma lote aisee
2026-07-20 15:59:52
1
Lily sway🥷 :
Nakutafuta
2026-07-20 07:02:58
0
shaa❤️ :
upo wp
2026-07-20 05:10:12
0
petersindani21 :
kiongozi floor plan napataje
2026-07-20 12:31:18
0
tacky tacky :
katika kuperuzi tiktok yaan weee umeenda na mahesabu sahihi kabisaaaa
2026-07-20 06:42:54
1
DEO :
Tofali 2000 zinatumia mifuko 90?
2026-07-19 18:19:37
0
Isra Lisa :
mba mbona chache kwenye iyo hesabu yako seriously?
2026-07-20 11:53:32
0
Yusuph Benard :
2026-07-19 15:53:48
0
sokwe :
Wapi unapatikana boss
2026-07-19 20:09:34
0
Laty :
nyumba ndefu ila paa ni fupi kulingana na nyumba
2026-07-19 17:58:44
1
malikiarecho :
Fundi mpaka Boma kukamilika ni M17 au sijaelewa?
2026-07-20 08:25:11
0
lastborn :
angalau ww umetaja gharama zinazo fikia uhalisia
2026-07-19 21:45:30
0
To see more videos from user @modernhome_builders.tz, please go to the Tikwm
homepage.